Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Mzee hawa viumbe usiwaamini hasa hawa waliopo kweny platforms!! Hawa wanapata tips nying za feminism na kupeana ushauri, feminism haijawahi kupenda mamlaka ya mwanaume kweny ndoa. Sikiliza zile takataka za kipind cha dadaz pale eatv 🤣🤣🤣
 
1. Shida yenu mnapenda sana kujitoa fahamu. Tafuta clip mzima uisikilize, amesema kabisa kwa wanandoa wenye maelewano huu sio ujumbe wao. 2. Kama hii imekutouch, ujue inakuhusu! Dunia imebadilika, wanaume wa aina hiyo wapo!
 
Phares Magesa is Typing ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…