Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Kamuumiza sana huyu feminist
Nilikuwa naiona familia safi sana kwa jinsi tulivyokuwa tunawaona mitandaoni kumbe ndani kulikuwa kunawaka MOTO......Mafahali wawili hawakai zizi moja ,Haika ana mali na Magesa naye ana mali na power lazima ndani pawake moto ,ila wamejitahidi sana kuwapa elimu bora watoto wao ,watoto hawajayumba kutokana na migogoro ya wazazi.
 
1. Shida yenu mnapenda sana kujitoa fahamu. Tafuta clip mzima uisikilize, amesema kabisa kwa wanandoa wenye maelewano huu sio ujumbe wao. 2. Kama hii imekutouch, ujue inakuhusu! Dunia imebadilika, wanaume wa aina hiyo wapo!

Inamuhusu nani? yule aliyeleta ujumbe anajua vizuri alichosema...kwamba ukitaka kula lazima uliwe. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 

Mama moto...Baba moto...watoto moto🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kituo cha daladala mbezi beach kinachoitwa GOIG ndiyo kilikuwa asili ya hiyo taasisi ya mama mchakarikaji?
 
Mkifanya nyie ni sahihi, wakifanya wanawake ni matapeli🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

Hamjui nyie ndio walimu wetu?
Wanaume wanafanya kwa manufaa ya familia japo kakuficha lakini matumizi unaona hapo nyumbani na still analipa ada za watoto ila nyie mnafanya kwa manufaa yenu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…