GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,193
Alituambia pale Yanga mtu mwenye akili ni Baba yake na Mzee Kikwete tu.Nikiwa mpenzi wa mpira na mpenzi wa klabu bingwa Tanzania, Dar Young African!nimefurahishwa sana na hii adhabu!sikuwahi kumkubali tangu akiwa makolo FC na sasa Yanga!!mimi ni muumini wa soka/utani wa kistaarabu na uungwana!!haiwezekani mtu anatukana wenzie,akiguswa tu anakimbilia anaonewa!!mtu hataki watu waikosoe club anayoifanyia kazi na matokeo yake wachambuzi wengi wanaogopa kuikokosoa Yanga kwa kuogopa manara atawararua katika ukurasa wake!!mambo ya ovyo sana haya!!ngoja akae benchi ajifunze weledi kazini!
Huyu jamaa alijua kutukera ni haki yake akatangaze Rimoti za Azam Tv kwa sasa.