Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GSM hatakuwepo Yanga milele,na ukikaa na watu wa Yanga wote tunajua yule si mwenzetu ila kaletwa na GSM tu,na saizi timu inafanya vizuri kelele hazipo,subiria Bundi akituaMtu wenu huyo mbona mnamkana na kadi ya uanachama mlimpatia
Nyuma Mwiko Wamemkalisha Na Mwiko WakeKiroporopo kimekata.
Foolish.Umeleta hukumu ya manara lakini hujaletea
1. Chanzo cha habari yako
2. Kamati ilikaa lini
3. Maneno ya Haji kumsea karia,je akaria aliongea nini hata Haji akamkosea Heshima?
Habari yako haijakamilika ,usijisifie tu.
AkomeMsemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20
Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF
View attachment 2298517
====
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Msemaji Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh. milioni 20
Amekutwa na hati kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye fainali ya ASFC kati ya Yanga na Coastal Jijini Arusha
View attachment 2298509
Kamati inakaa tena, inamchapaManara ataendelea ku uzungumzia mpira kama mwandishi na si kama Kiongozi.
Hakuna mwana yanga kaunga mkono huo upuuzi nafikiri nyuzi zetu za mpira Kule wanayanga unawatambuaOgopa sana yani hadi wana Yanga wamefurahishwa na hii taarifa
Manara Hana professionalism kwenye matamshi yake.Sema hivi ameingiziwa mchanga kwenye kitumbua Kwa wivu wa ubingwa wa kihistoria [emoji124]
Yule 'msemaji' hakupaswa kuaminiwa na taasisi kubwa, ana matatizo!Duh faini million 20 tff wanajenga barabara za mtaa wapi hivi wajumbe wote wamepitisha hili .Hapa ilitakiwa faini mil 5 na ban ya miezi 6 tu biashara inaisha kwa sababu hii ni soka.
Fala wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Kumekuchaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!
Byuti byuti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2298507
Hata mzee wa "wape salaaam" atakuwa anacheka sana huko aliko.Bumbuli huko aliko, anakunywa kahawa na kashataa, yaan ana furaha mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]