Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Nyumba yake au aliyokuwa anapanga amemuachia nani na kwanini na ili apate nini na amekosa nini? Je huu ni umalaya kimichezo na misimamo au uchumia tumbo?
 
Kufanya kazi club nyingine hakuthibitishi usaliti wake, hata wachezaji huhama team, hata makocha pia huhama team, mbona ni jambo la kawaida tuu hilo.
Jamaa wana mitazamo ya kishamba sana!!yale ya kina Ngasa kipindi kile anataka kusajiriwa sudan kwa pesa nyingi anakataa eti ana mahaba na yanga, mwisho wa siku yuko wapi?!!usemaji ni taaluma tu kama kazi nyingine wala hakuna kitu cha ajabu hapo.
 
Usemaji ni kazi
 
cheki jamaa alivo kataa kuulizwa maswali kua wandishi wataharibu story(mipango yao) izi huja za haji hazita fika popote anazidi kuumbuka
Your browser is not able to display this video.
 
Hamna maajabu, ana haki ya kutafuta kazi popote pale kwenye riziki ya halali, tumtakie kila la kheri
Kufanya kazi sio shida mkuu. Angebaki na unazi wake wa Simba pale angeenda kupiga kazi.

Shida kazi ya manara ni lazima uwe shabiki.
 
Mpira ni biashara, Manara ni sehemu ya klabu kufanya brand ya biashara. Kwa sisi tunaojua soka la dunia ya sasa lilivyo hatushangai Manara kwenda Yanga.
Kweli kabisa, Manara ni brand kubwa kuliko yanga. Ndiyo maana anaenda kuifanya yanga kuwa kubwa na kuchukua makombe.
 
Kweli kabisa, manara ni brand kubwa kuliko yanga. Ndiyo maana anaenda kuifanya yanga kuwa kubwa na kuchukua makombe.
Yani kuongea kwa Manara kunafanya team ichukue kombe,bila kuwekeza na usajili wa wachezaji Bora?
 
Ilikua lazima afanye hivyo laa sivyo alikua akimbiwe na mke au aolewe!!! Usicheze na njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…