Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Wale chawa wake waliokuwa wanasema anaonewa pamoja na wachambuzi uchwara sijui wataficha wapi aibu zao
 
Hamna maajabu,ana haki ya kutafuta kazi popote pale kwenye riziki ya halali,tumtakie kila la kheri
Ana haki ndio hakuna anayemkataza ila undumilakuwili haukubaliki na boss yeyote yule na leo ame prove
 
Haji Sunday Manara ni professional, ndo kazi yake ile ya usemaji inamfanya apate chakula, mavazi, Apeleke watoto shule, asaidie wazazi wake, kama kapoteza kazi kule simba, imebidi atafute kazi sehemu nyingine

Msiangalie mapenzi tu katika Club zenu za soka, angalia pia na maisha ya mfanyakazi kama Haji endapo akafukuzwa kazi katika timu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…