Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Nimemsikia Haji maneno yake wakati anakaribishwa,kwanza yameonyesha yeye hana mapenzi na Yanga kafata pesa,pili kaonyesha kuwa yeye ni mkubwa pale Yanga kwa masaa machache tu aliyotambulishwa.huyu atawavuruga tu pale,na kasema wazi hana tatizo na Simba,muda utaongea.
 
Kama alikuwepo Simba kikazi basi anaweza kuifanya kazi hiyo mahali pengine.

Kila la kheri Haji Manara.
 
Back
Top Bottom