Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

Alipewa mkataba wa kulipwa kila mwisho wa mwezi M20 akakataa wenye kipengele cha kutojihusisha na kampuni zingine kwaiyo atulie tu na Laki 7
Watu waongo sn msemaji wa timu( HAJI) alipwe Million 20 kwa mwezi apewe kama mshahara wachene maskhara nyie watu.

Huyo C.E.O mwenyewe sijui kama analipwa hata MILLION 10 inafika na ELIMU YK yote hiyo .
 
Amshukuru Mungu kwa hizo laki saba! Kwa nini azitangaze leo? Hata kama ni ndogo si alikubali? kwani alilazimishwa! Hata kama ana malalamiko huo si utaratibu wa kulalamika! Kama ana malalamkko si angeyapeleka ofisini? Njia aliyoitumia inathibitisha kuwa Haji saizi yake ni pungufu ya laki saba! Ni mtoto wa kijiweni!! Kwa staili hiyo hastahili kuwa Simba! Afukuzwe!!!
 
Simba mwondoeni Haji Manara fasta. Huwezi kumtukana boss wako hadharani hivyo hata kama amekukosea!! Kwa hadhi ya Simba Manara hafai!! Ni mtoto wa kijiweni! Kwa lugha hiyo hata hizo laki saba hastahili!! Hebu tupieni cv ya Manara hapa!! Nilikuwa nampenda sana, lakini kwa uswahili huo hastahili kuwa Simba!!
Ila si bure kuna watu wamemdanganya! Akitoka tu simba watamwacha kwenye mataa!! Huwezi kumtukana CEO halafu ukabaki salama!!
 
Yan kweli Mwanaume rijali unajiliza kabisa kwa Mamb ya hovyo hivo s akae atulie tu anapenda huruma ya mashabiki Sana
 
Ndugu zanguni Watanzania, nawasalimia huku nikiamini mu wazima wa afya tele, na kwa wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya na nyinginezo tunawaombea kwa Mungu awafanyie wepesi. Jana zilivuja audio clip za Manara akimtuhumu Barbara kuwa hamtendei haki.

Nyuma ya pazia, hili Jambo lipo muda mrefu, ila deep state wamemtumia Manara muda huu ili kutuhamisha kwenye mjadala wa msingi was madai ya katiba mpya na kukamatwa kwa MBOWE na wenzake.

@ccm, kwa mara nyingine mmeshindwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…