Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

Apo Haji hana makosa, ametumia loop hole ya madhaiu ya Simba ya kutompa mkataba wa kazi

Kama Simba wangempa mkataba wa kazi naamini kabisa kuna baadhi ya vifungu vingemfunga kufanya ubalozi na makampuni pinzani ya Metl
Utajua maana ya mkataba wewe. Unajua Implied Contract?
 
Mkuu we sio Simba si Siri we ni uto hata mwandiko wko unaonyesha hatutaki mamluki wa kupunguza idadi ya magoli hio 25 lake Tanganyika
 
Mbona kama vile wote wawili wanamgombea MO sio Simba?mimi kama sielewi vile
 

 
Your browser is not able to display this video.

Katika muendelezo wa msuguano kati ya Haji Manara na CEO wa simba Barbara Gonzaléz , imetolewa voice note nyingine ambapo Haji Manara amesikika akilia kuwa anaonewa na kufanyiwa dhuluma, Haji amesikika akiongea kwa sauti ya masononeko kuwa ana wasiwasi kwa visa anavyofanyiwa anaweza kuuwawa.
 
Muosha huoshwa, aache kulia lia.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
kwani wamemfanya nini uyu jamaa anaweka vilio hapa afu anatangaza matangazo ya maziwa, au danganya toto?
 
Manara design kama nae hana misimamo, wao wanamuhisi anauza club, huu ni mda wa Manara kusema basi ajiuzulu awaachie club yao,aache kutafuta huruma kwa mashabiki.

Ila siamini mpaka Mo nae anamuhisi vibaya Manara. Wanasimba huu mpira na hii ni derby mara nyingi zina matokeo ya ajabu haijalishi una kiwango gani,unaweza ukawa vizuri na ukapigwa. Manara mpayukaji, ana mihemko, domo lake halina break ila nina uhakika Manara hawezi kuiuza Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…