Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Sure....
 
Kwa wewe mjinga usiyejua haki yako ukiona uniform unaona yuko juu ya sheria, eleza kosa ni nini na wapi alivyokosea.

Kwa akili yako JW ndio alfa na Omeganchi hii?
Uniform=Juu ya sheria ?!! Ha ha ha
 
Atajitokeza alie lie hapa ila watu wanamsagia kunguni mnoo kwenye page za Insta za magereza najua hakukuchi atakua kashalia lia
 
Hawa magereza wanatoa onyo kwetu badala ya kuwaonya wafungwa wenzao.
 
Haji ni mtundu tu
 
Aombe Mungu sana asiende kuwekwa mahabusu ya magereza hata siku 1. Akitoka huko itakuwa 👋👋 yake.

Mungu amsaidie.
Kwanini itakuwa ni "bye bye" yake ?!!

Kwanini baadhi ya watanzania tuna "mentality" ya kupenda KUONA MAUMIVU na MATESO kwa wengine ?!!

Iwe maumivu ya KIHISIA...
Iwe maumivu ya KIUCHUMI...

Mentalities hizi hazina tofauti na "maneno ya ukakasi" yaliyotolewa katika hilo tukio....na ndio maana kila mtu mwenye NGUVU anataka kuonea walio DHAIFU.....na akiwa na NGUVU kukuzidi basi ujue wewe mpenda KUTUMIA MAGUVU iko siku UTADHALILIKA/KUINGIA UNYONGE ukikutana na MWENYE NGUVU mwingine aliyekuzidi NGUVU.....

#Piga vita tabia hizi mbovu!
#Tujifunze kuipenda Tanzania kwa kuheshimia sisi raia wake!
 
Anatakiwa kidogo afundishwe adabu mshike!
 


Askari magereza alitoa Amri yeye kama Nani?

Kwani ni Gerezani Pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…