ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Inferiority complex inamsumbua !Ameachiwa kwa sababu ya ule ulemavu ndio una mpa kiburi cha kudhalilisha wengine!
Anadhani anadharauliwa kumbe ni hisia zake tu !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inferiority complex inamsumbua !Ameachiwa kwa sababu ya ule ulemavu ndio una mpa kiburi cha kudhalilisha wengine!
Sure....Huo ni UNYANYAPAA LIVE kwa sababu alichosema au kufanya Manara kinaweza kusemwa au kufanywa hata na mtu asiye na ulemavu kwa sababu issue hapo ni attitude!! Sasa nini kimekufanya uone Manara kafanya hayo kwa sababu ya ulemavu wake na sio attitude yake?!
Wangekuwa wameshamtupa korokoroni. huyo ni best wa JK ana kadi ya ccmFahamu huyo ni Kada wa CCM! Fikiria kama angekuwa CHADEMA kipi kingemtokea?
Uniform=Juu ya sheria ?!! Ha ha haKwa wewe mjinga usiyejua haki yako ukiona uniform unaona yuko juu ya sheria, eleza kosa ni nini na wapi alivyokosea.
Kwa akili yako JW ndio alfa na Omeganchi hii?
Aombe Mungu sana asiende kuwekwa mahabusu ya magereza hata siku 1. Akitoka huko itakuwa 👋👋 yake.Hana adabu,kwa sababu anajuana na viongozi ndy anajiona yuko juu
Ila ngoja siku aingie kwenye 18 zao atawajuaaa vzr
Ova

Haji ni mtundu tuHuyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa
Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!
Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Kwanini itakuwa ni "bye bye" yake ?!!Aombe Mungu sana asiende kuwekwa mahabusu ya magereza hata siku 1. Akitoka huko itakuwa 👋👋 yake.
Mungu amsaidie.
Ushauri wako awachwe tu!Haji ni mtundu tu
Mpuuzi!Inferiority complex inamsumbua !
Anadhani anadharauliwa kumbe ni hisia zake tu !
Anatakiwa kidogo afundishwe adabu mshike!Kwa kweli Hajj anatakiwa kuliomba msamaha Jeshi zima la Magereza. Amewadhalilisha sana na amekosa uungwana. Anawakemea askari na kuwaambia waende kwa wafungwa wenzao? Kwamba askari Magereza pia ni wafungwa? Hivi huyo Manara watu wakiamua kumtukania si atakimbia?
Anahisi anaweza kumvaa yeyote ila karia alimkomesha!Mannara ni chizi, simba ndiomaana walimtimua huyo mshenzi
Ha ha haAnahisi anaweza kumvaa yeyote ila karia alimkomesha!
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa
Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!
Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Aliomba kutoa gari!Askari magereza alitoa Amri yeye kama Nani?
Kwani ni Gerezani Pale?