Naunga Mkono hoja ya Kamati kuu ya kuchunguza mwenendo wa baadhi ya maafisa wa jeshi la Polisi, wanaolipaka tope jeshi la polisi kwa kuwalinda wafanyabiashara MATAPELI wanaodhurumu mali za watu.
Naomba tuanze na Dar Es Salaam na Mimi Paul Makonda nipo tayari kutoa ushirikiano.
Mimi mwenyewe Ushawahi kuniweka ndani bila kosa kwa kutumia Polisi hao hao unao walaumu leo.
Watu wangapi uliwasweka lockup kwa kutumia cheo chako? Wewe leo wa kuwalaumu Polisi?
Acha waseme wengine na tulia Dunia iendelee kuzunguka katika mhimili wake.
Kaka njaa mbaya. Atafanyaje wakati ‘Bwanyenye’ wake kaguswa? Lazima aoneshe kuwa hayupo upande wa ex-RCHaji wa kumsema Makonda leo?
Nimepata somo
Kama alimlaza lock up asiseme?Haji wa kumsema Makonda leo?
Nimepata somo
KumbeKaka njaa mbaya. Atafanyaje wakati ‘Bwanyenye’ wake kaguswa? Lazima aoneshe kuwa hayupo upande wa ex-RC
Mzee hiki kipost unakituma kila uzi wa Bashite amekutuma nini?Kwa picha ilivyokuwa imejengwa tulitegemea tuone rundo la watu waliodhulumiwa mali zao na Makonda wakijitokeza, badala yake tumeanza kuona wanajitokeza wezi wa mali za Makonda
Haji wa kumsema Makonda leo?
Nimepata somo
Wewe ni wakili wa upande upi?Sasa anaetakiwa aende mahakamani ni nani? Anaedai au anaedaiwa? Mshauri makonda aende mahakamani na vielelezo vya kununua ardhi, asijekusema kiwanja cha mamia ya mamilioni "amepewa" bure
Sheria ya nchi inaruhusu kuwekwa ndani na mkuu wa wilaya, mkoa, Rais bila ya kutia sababu yoyoteManara uwezi kuwa uliwekwa ndani bila sababu bhana labda useme kingine! Yaani uwekwe ndani tuu?