Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Huyu Makonda ni jambazi aliyekuwa analindwa na Magufuli, kinachomtokea sasa ni stahiki yake pambafu zake, And Magu alikuwa anajiita mzalendo!!!!!! Mzalendo gani alikuwa analinda wahuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ndio Makonda mwenyewe.Mzee hiki kipost unakituma kila uzi wa Bashite amekutuma nini?
Hapa kama vipi na malaika RC mstaafu aende tu mahakamani akadai haki yake na si kukimbilia huku kwa raia mtaani, sisi hatuna uwezo Wa kumsaidiaSasa naona hawa jamaa wanaitumia hii issue ya kiwanja kutafuta public sympathy of a certain kind.
Kwanza wakili Mgongolwa kujitokeza public kutoa clarification kuhusu mmiliki halali wa kiwanja, nikajiuliza wakili ofisi yake ni mahakamani, huyu Mgongolwa barabarani anatafuta nini? ni politics tu.
Then huyu Manara, muajiriwa wa GSM, anakuja mbio mbio nae anamlaumu Makonda, hapa sitaki unafiki, hata kama Makonda alikuwa na madhambi yake lakini huu mchezo unaochezwa hapa ni wa kishamba.
Kama vipi waende mahakamani, kutafuta uungwaji mkono na mashabiki wao kijanja kwa issue zao private ni mchezo wa kishamba uliopitwa na wakati.
Manara ni mpambe wa tajiri, yani adui wa tajiri ata force awe ni adui yakeSasa naona hawa jamaa wanaitumia hii issue ya kiwanja kutafuta public sympathy of a certain kind.
Kwanza wakili Mgongolwa kujitokeza public kutoa clarification kuhusu mmiliki halali wa kiwanja, nikajiuliza wakili ofisi yake ni mahakamani, huyu Mgongolwa barabarani anatafuta nini? ni politics tu.
Then huyu Manara, muajiriwa wa GSM, anakuja mbio mbio nae anamlaumu Makonda, hapa sitaki unafiki, hata kama Makonda alikuwa na madhambi yake lakini huu mchezo unaochezwa hapa ni wa kishamba.
Kama vipi waende mahakamani, kutafuta uungwaji mkono na mashabiki wao kijanja kwa issue zao private ni mchezo wa kishamba uliopitwa na wakati.
Mama ameshamshitaki?Huyu Makonda ni jambazi aliyekuwa analindwa na Magufuli, kinachomtokea sasa ni stahiki yake pambafu zake, And Magu alikuwa anajiita mzalendo!!!!!! Mzalendo gani alikuwa analinda wahuni?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Salaam Wakuu,
Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri.
Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa.
Haji kadai Wakati Makonda akiwa Serikalini, alimlaza Korokoroni
Ipo hivi;
View attachment 2148311
Leo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na Jeshi hilo.
Inadaiwa Maofisa wa Polisi hawaaminiki na wanaonekana kutenda majukumu yao bila kufuata Mwongozo wao wa kisheria (PGO).
Baada ya taarifa hiyo, Paul Makonda Aliandika hivi;
Baada ya kuandika Ujumbe huo, Haji Manara alijibu hivi;
Pia soma;
1). Wananchi kukosa imani na Polisi: CCM yaagiza Jeshi la Polisi lichunguzwe
2). Makonda: Baadhi ya Askari Polisi jijini Dar wanawalinda wafanyabiashara matapeli wanaodhulumu mali za watu
View attachment 2148285
Ukimsikiza Haji anavyoelezea maisha yake ndani ya Simba utagundua ni mtu aliyeishi kwa shida sana kiasi cha kuishi kwa unafiki ili maisha yaendelee. Hivyo yawezekana Haji hakuwa na ukaribu wala ushikaji na Makonda Bali kwa kuwa bashite alikuwa na nguvu na aliwatisha hadi kina Mo ikabidi aendane nae tu ndani ya Simba japo kinafikiHaji wa kumsema Makonda leo?
Nimepata somo
Okay , halafu yakaishaje ?
Chawa Wa big bootyMzee hiki kipost unakituma kila uzi wa Bashite amekutuma nini?
Haji wa kumsema Makonda leo?
Nimepata somo
Tangu alipommaindi SIEIJII nilifuta hiyo dhana ya kwamba ni msalendoHuyu Makonda ni jambazi aliyekuwa analindwa na Magufuli, kinachomtokea sasa ni stahiki yake pambafu zake, And Magu alikuwa anajiita mzalendo!!!!!! Mzalendo gani alikuwa analinda wahuni?
[emoji38][emoji38][emoji38]
Dah! Maisha haya! Kwenye hilo karatasi na majizzo bosi wa efm alikuwemo.
Na madhara yake ni makubwaManara ni mpambe wa tajiri, yani adui wa tajiri ata force awe ni adui yake
Tulia sindano ingie unajua kucheza draft wewe?Sasa naona hawa jamaa wanaitumia hii issue ya kiwanja kutafuta public sympathy of a certain kind.