Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Sasa naona hawa jamaa wanaitumia hii issue ya kiwanja kutafuta public sympathy of a certain kind.

Kwanza wakili Mgongolwa kujitokeza public kutoa clarification kuhusu mmiliki halali wa kiwanja,...
Bro dawa ni kurudisha mali ya watu simple tuu
 
Kwa picha ilivyokuwa imejengwa tulitegemea tuone rundo la watu waliodhulumiwa mali zao na Makonda wakijitokeza, badala yake tumeanza kuona wanajitokeza wezi wa mali za Makonda
Halafu we jamaa unajitoaga ufahamu hadi mwisho kabisa asee. Sijui huwa unalipwa ngapi
 
Sasa naona hawa jamaa wanaitumia hii issue ya kiwanja kutafuta public sympathy of a certain kind.

Kwanza wakili Mgongolwa kujitokeza public kutoa clarification kuhusu mmiliki halali wa kiwanja, nikajiuliza wakili ofisi yake ni mahakamani, huyu Mgongolwa barabarani anatafuta nini? ni politics tu...

Kama kusafisha jina kwa GSM ni wa kishamba jitokeze Mkuu na mchezo wa kisasa umtetee Bashite
 
Salaam Wakuu,

Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri...
Kwani hao ma RCO na RPC si wanateuliwa huko huko?? Sasa uchunguzi wa nini wakati ni watu wao?

Cheap popularity
 
Huyu Makonda ni jambazi aliyekuwa analindwa na Magufuli, kinachomtokea sasa ni stahiki yake pambafu zake, And Magu alikuwa anajiita mzalendo!!!!!! Mzalendo gani alikuwa analinda wahuni?
Magu hajawahi kuendekeza upuuzi na ndio maana hata sakata la makontena aliiacha TRA wafanye yao pamoja na Ex-RC kulalamika kwenye Media atashtaki kwa Mkulu!!, kulindwa kupi unakosemea??
 
Kiwanja kile anachodai makonda kwamba ni mali yake gharama milioni1 650+

Makonda njoo useme alikuwa anafanya biashara gani akapata hizo pesa za Kununua huo uwanja

Makonda atulie mali alizopora zitarudi moja baada ya nyingine

NB## AWAKUM USHA NAS HAULERS NJOONI SASA MCHUKUE MALI ZENU KWA MAKONDA ALIZOZITAKA KWA NJIA YA UBABE[emoji375][emoji375][emoji375]
 
Kaka njaa mbaya. Atafanyaje wakati ‘Bwanyenye’ wake kaguswa? Lazima aoneshe kuwa hayupo upande wa ex-RC
Hao ndio alikuwa akiwa na birthday wanamuwish vibaya

Kweli ukiwa na nafasi usilewe mapenzi ya watu ni bandia tu
 
Moja Ndugai, then wanakuja wagombea ubunge ambao walipitishwa kwa matakwa ya dikteta, then 2024 and 2025 utakuwa uchaguzi wa haki
Wameondolewa kwenye ubunge wao?

[emoji23][emoji23][emoji23]Vijana akili zenu mnapeleka wapi?

Watu wanakula mema ya nchi huku wewe unapigwa vumbi alafu unasema wamekomolewa?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom