Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Polisi walikua hawaaminiki tangu alivyokuwepo Makonda mwenyewe kama RC. Mbona hakudai wachunguzwe?
 
Manara mwenyewe ana record ya utapeli kabla hata Makonda hajawa RC.

Yawezekana anatetea matapeli wenzie tu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sasa naona hawa jamaa wanaitumia hii issue ya kiwanja kutafuta public sympathy of a certain kind.

Kwanza wakili Mgongolwa kujitokeza public kutoa clarification kuhusu mmiliki halali wa kiwanja, nikajiuliza wakili ofisi yake ni mahakamani, huyu Mgongolwa barabarani anatafuta nini? ni politics tu.

Then huyu Manara, muajiriwa wa GSM, anakuja mbio mbio nae anamlaumu Makonda, hapa sitaki unafiki, hata kama Makonda alikuwa na madhambi yake lakini huu mchezo unaochezwa hapa ni wa kishamba.

Kama vipi waende mahakamani, kutafuta uungwaji mkono na mashabiki wao kijanja kwa issue zao private ni mchezo wa kishamba uliopitwa na wakati.
Wakwenda mahakamani ni Makonda maana yeye ndio katimuliwa pale kwa msaada wa polisi ndio maana anawalaumu polisi kwa kuwalinda wafanyabiashara matapeli.
 
Sasa anaetakiwa aende mahakamani ni nani? Anaedai au anaedaiwa? Mshauri Makonda aende mahakamani na vielelezo vya kununua ardhi, asijekusema kiwanja cha mamia ya mamilioni "amepewa" bure
Hahaaa! Eti bure
 
Aisee... Magu aliwaharibu sana hawa vijana aisee
 
cryinglaughsmiley.gif
cryinglaughsmiley.gif

amesema atulie tuli kama ananyolewa
 
Magu hajawahi kuendekeza upuuzi na ndio maana hata sakata la makontena aliiacha TRA wafanye yao pamoja na Ex-RC kulalamika kwenye Media atashtaki kwa Mkulu!!, kulindwa kupi unakosemea??
Huwezi vamia media na mapolisi na bado ukawa mtumishi wa umma
 
Wameondolewa kwenye ubunge wao?

[emoji23][emoji23][emoji23]Vijana akili zenu mnapeleka wapi?

Watu wanakula mema ya nchi huku wewe unapigwa vumbi alafu unasema wamekomolewa?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Leo makonda ni mtu wa kuwasema polisi badala ya kuwaamrisha
 
Waaambieni hao Chawa Manara na Lemutuz wapeleke maji kwenye majaba kule Mwenge kuzima Moto, JieSM kaaanza kupigwa ngumi ya Pua, ***** zao, haiwezekani Mwarabu koko amzingue mbonngo mwenzetu wa Kibaigwa huko halafu tugeuke Chawa wake itakua kuendeleza Utumwa.
Makonda yuko Uwanja wa Nyumbani tutampa sapoti japo ya kinafiki dhidi ya hawa Wafunga Viremba.
 
Sasa naona hawa jamaa wanaitumia hii issue ya kiwanja kutafuta public sympathy of a certain kind.

Kwanza wakili Mgongolwa kujitokeza public kutoa clarification kuhusu mmiliki halali wa kiwanja, nikajiuliza wakili ofisi yake ni mahakamani, huyu Mgongolwa barabarani anatafuta nini? ni politics tu.

Then huyu Manara, muajiriwa wa GSM, anakuja mbio mbio nae anamlaumu Makonda, hapa sitaki unafiki, hata kama Makonda alikuwa na madhambi yake lakini huu mchezo unaochezwa hapa ni wa kishamba.

Kama vipi waende mahakamani, kutafuta uungwaji mkono na mashabiki wao kijanja kwa issue zao private ni mchezo wa kishamba uliopitwa na wakati.

Kweli kabisa uyu marana na watu wengine ni wapumbavu wa kupuuzwa kwenye hii ishu
 
Back
Top Bottom