Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Feb 9, 2024 #241 MAPITO Mwanza said: Ohhoooo bashite again Click to expand... Anawindwa sana USA
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Feb 9, 2024 #242 Mmawia said: Bashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia Click to expand... Naona umekaririshwa maneno na wazungu wa US Wenzako walimbrand hivyo kisa alikua anapinga ushoga na aliapa kuwasaka machoko wote,sasa watu kama wewe mnarukia tu kila atakachosema Beberu, Ndio maana anawachagulia nani mumuite Gaidi na nani msimuite Gaidi,ni kama amejipa mamlaka ya kuwabrand watu tuhuma kwa maslaha yake
Mmawia said: Bashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia Click to expand... Naona umekaririshwa maneno na wazungu wa US Wenzako walimbrand hivyo kisa alikua anapinga ushoga na aliapa kuwasaka machoko wote,sasa watu kama wewe mnarukia tu kila atakachosema Beberu, Ndio maana anawachagulia nani mumuite Gaidi na nani msimuite Gaidi,ni kama amejipa mamlaka ya kuwabrand watu tuhuma kwa maslaha yake
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Feb 9, 2024 #243 Makonda anajitutumua mno! Hivi anafikiri wa Tz tumesahau matendo yake? leo wakisema walionyanyaswa/kudhulumiwa na makonda wajitoikeze itakuwa aibu!
Makonda anajitutumua mno! Hivi anafikiri wa Tz tumesahau matendo yake? leo wakisema walionyanyaswa/kudhulumiwa na makonda wajitoikeze itakuwa aibu!
mzeewaSHY JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 8,916 Reaction score 8,630 Feb 10, 2024 #244 Mmawia said: Bashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia Click to expand... Duh 🙄 !
Mmawia said: Bashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia Click to expand... Duh 🙄 !
M mugosha JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 922 Reaction score 545 Feb 10, 2024 #245 pilipili kichaa said: Makonda anajitutumua mno! Hivi anafikiri wa Tz tumesahau matendo yake? leo wakisema walionyanyaswa/kudhulumiwa na makonda wajitoikeze itakuwa aibu! Click to expand... Wangekuwapo wangejitokeza wakati akiwa kijiweni. Ila Kwa sasa Yanabakia kuwa maneno matupu.
pilipili kichaa said: Makonda anajitutumua mno! Hivi anafikiri wa Tz tumesahau matendo yake? leo wakisema walionyanyaswa/kudhulumiwa na makonda wajitoikeze itakuwa aibu! Click to expand... Wangekuwapo wangejitokeza wakati akiwa kijiweni. Ila Kwa sasa Yanabakia kuwa maneno matupu.