Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Anawindwa sana USAOhhoooo bashite again
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawindwa sana USAOhhoooo bashite again
Naona umekaririshwa maneno na wazungu wa USBashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia
Duh 🙄 !Bashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia
Wangekuwapo wangejitokeza wakati akiwa kijiweni. Ila Kwa sasa Yanabakia kuwa maneno matupu.Makonda anajitutumua mno!
Hivi anafikiri wa Tz tumesahau matendo yake?
leo wakisema walionyanyaswa/kudhulumiwa na makonda wajitoikeze itakuwa aibu!