Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Makonda kazulumu kiwanja cha yanga kigamboni walichopewa na manji, kwa mradi wake wa kitapeli wa show room za magari wa kigamboni
 
Cheti cha kughushi,napata shaka hata mkataba utakuwa wa kughushi!!
Aliyetoa pesa bandia kauziwa bidhaa bandia ngoma droo!!
 
Hili bado kimenyamaziwa ila soon nalo litapanda hewani!! Tulipata kuandika humu "kama tadinu tudanu!" kikombe kilekile kinanywewa upande wa pili sasa
Makonda kazulumu kiwanja cha yanga kigamboni walichopewa na manji, kwa mradi wake wa kitapeli wa show room za magari wa kigamboni
 
Makonda Yuko sahihi haijalishi kama na yeye alishawahi kuwa sehemu ya mfumo.Mara nyingi tumeshawahi kuona viongozi wengi waandamizi wa chama tawala na serikali ambao ni wastafu kwa sasa ,wakikosoa baadhi ya mambo ingawa na wao walikuwa sehemu ya mfumo!
 

✍️Heshimu watu brother...Cheo, Umaarufu na Pesa huondoka... Sponsors hufa!

📌Ni kweli Paul Makonda alikua na madhaifu mengi tu ya kiuongozi kama walivyo viongozi wengine..

Lakini kabla hujamnyooshea kidole jiulize wewe ukiwa Simba uliwatukana wangapi?
Angekuwepo Magufuli na wewe ukaendelea kubaki Simba ungeyasema haya?

📌Wewe sindio ulisema Yanga wenye akili ni Baba yako na Mzee Kikwete? Uliwaumiza wangapi kwa kauli yako hii?

📌Uliwatukana waandishi wa habari wangapi?
Nakukumbusha baadhi yao Shaffih Dauda,Priscar Kishamba ,Maulid Kitenge na wengine wengi tu.

📌Unadhani bila huruma ya GSM wewe ungekuwa wapi leo?
Unadhani GSM asingekuwepo Yanga, ungefanya kazi Yanga wewe?

📌Leo uko Yanga kila siku kumtukana Mohamed Dewji na Barbara Gonzalez hilo huoni kama ni tatizo?

📌Umewaumiza wangapi kibiashara ukiwa Yanga? Dauda, Clouds,Vunjabei na hata GSM mwenyewe kuna sehemu umemuumiza sana sema hataki kusema tu.

📌Kwanini huo uungwana unaouhubiri usiufanye wewe?

📌Ni kweli inafahamika upo Yanga kwa kazi moja tu ya kuitukana Simba (hasa Mo Dewji) na kuwasifia GSM

📌Ni kweli tunajua bado unaipenda Simba ndio maana hujawahi kuwakejeli wala kuwatukana wachezaji wa Simba ispokuwa Mo Dewji na Barbara Gonzalez waliokuondoa kwenye nafasi yako

📌Lakini, unajiskiaje unapomshambulia na kumtukana mtu kila siku ambaye hakujibu? Imani yako inasemaje?

📌Tatizo lako Brother unataka kila kitu uwe wewe...Yaani Diamond uwe wewe,Samatta uwe wewe, Mayele uwe wewe,Rais uwe wewe,Gharib uwe wewe nk

Unataka ku-trend wewe tu....!!

📌Kabla hujamnyooshea kidole mwenzio angalia hivyo vidole vitatu vinavyokuangalia wewe..

Credit Sospeter Ilagila
 
Aisee kila nikiona post za Manara akimsulubu Makonda kwa kweli kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza. Pamoja na matatizo ya Makonda lakini sikutegemea leo Manara ndio awe kinara wa kumsulubu kiasi hicho.

Sio kila rafiki yetu leo ni rafiki wa kweli. Wengine ni wanafiki tu tu wanakuwa ni marafiki kwa sababu ya pesa, uwezo au vyeo tulivyonavyo. Yale yale ya "LE MUTUZ " na Majizo. Yaani sasa hivi nimeanza kukaa kimachale machale kama mchina na marafiki zangu wote.

Nakubaliana na mdau hapo juu aliyesema kuwa watanzania wengi ni wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…