Haki ya Mungu nimejikuta namkumbuka Magufuli ghafla tu

We ni tahira kweli, TANESCO emergency Wala hawaitaji hela wakija kusolve tatizo kwako,we sababu ni boya ulijipendekeza kuwapa au unawachafua tu, TANESCO kitengo Cha emergency wapo vizuri Sanaa,labda kwa mengine hapo sawa
 
We ni tahira kweli, TANESCO emergency Wala hawaitaji hela wakija kusolve tatizo kwako,we sababu ni boya ulijipendekeza kuwapa au unawachafua tu, TANESCO kitengo Cha emergency wapo vizuri Sanaa,labda kwa mengine hapo sawa
Mie sijatukana mtu humu
Kama umechukia mie kudai haku yangu
Kwa kuwa wewe hayajakufika
Basi pita tu hakuna haja ya kunitukana
Mie mzima na akili zangu sio taahira
Na kama wapo vizuri wangeshafika tangu nilipotoa taarifa
Masaa yamepita na kauli zao pia sio nzuri
Ila saa hii vitenhk bipo chini ga mafisadi
Magu aliweza sana walinyooka wote hawa
 
Alikopa trilioni 29 ndani ya awamu 1 na akawa anatuaminisha kuwa tuna uwezo wa kujitegemea, tuchape kazi.
 
Ukiona kwako kunafuka moshi, somewhere kunateketea. UKitaka kujua hili, anza kukaa karibu na wanaopitia changamoto zinazohitaji huduma za:-

1. TRA,
2. Polisi,
3. Takukuru,
4. Uhamiaji,
5. Hospitali,
6. Elimu, Au,
7. Ofisi yoyote inayotekelezwa na serikali pa se. ndipo utakapowaelewa wanaosema "Afadhali tuwe chini ya Mzungu tena".
 
Ifike mahali baba wa taifa apewe heshima yake,mnazidi sasa,,Magu magu,ndo ashakufa sasa km ,mlimpenda sana mfaten hamjakatazwa
Jamaa aliweza sana,
Kudhibiti hawa wafanyakazi wa michongo wanaojifanya miungu wAtu kwenye kutoa huduma magu alifanikiwa sanaaa yaani hata nyerere hamfikii
 
Kila zama na kitabu chake...
 
Sawa, Naomba namba yako ya simu waje watatue hiyo issue yako
 
mwaka jana tulipata tatizo la luku ilipiga short, tukapiga simu tanesco na ndani lisaa wakafika wakaungani wavojua wenyewe tukatumia zaidi ya wiki moja bure mpaka walipo leta luku mpya,

juzi shinda jana jirani yetu mti umeangukia waya za umeme hadi leo hawajaja pamoja na kupigiwa simu kadhaa

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Alipokufa mlifurahi. Wakuda na vigeugeu lolote liwakute
Tena napendelea mabaya zaidi yatokee ili wa Tanzanian mjue kutambua na kuheshimu mtu aliyejitoa kwa ajili yenu rkn hao hao watanzania wakafulahia na wengine kuchinja mbuzi kwa kufurahia kifo cha mtetezi wao.
Inauma sana rkn nyie mliokuwa mnashangilia kifo cha mzee wetu endeleeni kushangilia tu hakuna kumkumbuka wala nini...
 
Mimi tatizo LA maji mwezi wa tatu huu. Nataka kwenda kwa waziri mwenyewe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…