Hakika mke wa mtu ni sumu, kilichonitokea jana siwezi kurudia tena

Umepakwa mafuta ukiwa umevaa boxer haya bwana ....😀
 
The story has so many holes....patch it up....
 
The story has so many holes....patch it up....
 
Umetangaza vzur biashara yako, subir waje pm
 
Mpaka wanafanikiwa kukupaka mafuta, maana yake waliipalaza palaza sana.

Wanaume watano ndani ya chumba, umewacholopokaje?
Hahahahhahah eti walipalaza palaza dah npo msibani ila nmecheka sana
 
Umeanza mwaka na kupakwa mafuta tegemea mengi msimu huu dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…