Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Nanukuu "Hakika wanaume mna akili za ajabu sana"
Mwisho wa kunukuu.

Maoni yangu;-
Nafikiri huyo ameshakufunza kitu kwaiyo tafuta/ mkubalie asiye na akili za ajabu sana.

Hitimisho;-
Pole sana bibie, achana na visasi songa mbele, naamini hata Mungu wako uli/unamkosea mara kibao lakini hajakuchukia.
 
Mtahishia kujiingizia ma chupa ya soda tuu kwa akili hz
 
mroge tu dada Mungu atakuelewa.
 
Ww tumekusikiliza sasa bado yy tumsikilize afu tutoe uamuzi..maana sasa hivi mnakalia chupa unyumba mnatunyima..hamueleweki Kama unga wa ngano ....
 
Umempigania wewe ndio mzazi wake?😆😆😆
Anyway,wanawake mpunguze kupangia bajeti pesa za wanaume zenu,mwanamke ili usiteseke na kisicho cha kwako pambana upewe/update mtaji wa biashara ili upate kilicho cha kwako,vinginevyo utalalamika kunyimwa pesa/mwanaume kubadilika mpaka uzeeni
 

Kama umeamua Mungu akulipie mwache afanye yeye,achana na sitokubali lipite
 
cooldown mbn mchoyo utaki wenzio neema iwatokee
 
Pole sana.....mara nyingi tamaa mbaya zinapotushinda tunasahau haraka.....

Ila kama utabaki kumuamini Mungu, napenda nikuhakikishie kama hatajirudi Mungu atasawazisha matokeo mpaka ugeuke kumuonea huruma tena....
 
Kuna kijana
Mvulana
Na kuna mwanaume ww uyo wako ni kijana au mvulana ila mwanaume hapana mwanaume ni mtu mwenye msimamo na mwenye kusimamia maanuzi yake
 
Itategemea...kama mtu hujavutika nae unamkubalia vipi? Kosa la huyo wako ni kwa sababu alikurudia baada ya majanga kumkuta ilihali mwanzoni alikukataa ila kiukweli kuwa na mtu ambae hujavutika nae ni suala zito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itategemea...kama mtu hujavutika nae unamkubalia vipi? Kosa la huyo wako ni kwa sababu alikurudia baada ya majanga kumkuta ilihali mwanzoni alikukataa ila kiukweli kuwa na mtu ambae hujavutika nae ni swala zito.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataa pema, pabaya pana muhita.
Mwanaume unaonesha. upo seriously na mwanamke then ki rahisi rahisi anasema hivyo. likitokea la kutokea ndipo anarudi hapo tusemeje?
 
Pole kwa unayopitia. But Calm down; usije ukajiukuta unafanya jambo litakalopelekea kuyaharibu maisha yako.
 
Mkataa pema, pabaya pana muhita.
Mwanaume unaonesha. upo seriously na mwanamke then ki rahisi rahisi anasema hivyo. likitokea la kutokea ndipo anarudi hapo tusemeje?
Karudi baada ya majanga kumkuta...achana nae mana tayar alishakuonesha kwamba hakuhitaji. Point yangu kuu ilikua kuwa serious na mtu ndo sio kigezo eti nae atakupenda
 
Karudi baada ya majanga kumkuta...achana nae mana tayar alishakuonesha kwamba hakuhitaji. Point yangu kuu ilikua kuwa serious na mtu ndo sio kigezo eti nae atakupenda
Huwa mnatumia kigezo gani kuw na mtu?
kuna aliniambia ili awe na mimi hadi nimtajie kazi gani nafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…