Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Kuna siku mwaka 2016 nikiwa kwenye kijiji fulani nje kidogo ya jiji la Rosario niligundua jambo ambalo wengi wenu hamjui. Nakumbuka siku hiyo alfajiri nilikuwa nina safari ya kwenda kwa mtaalamu (Mganga) aitwaye Mzee Marcelo. Nikiwa ninaingia kwenye kijumba cha mtaalamu wangu nikapishana na Messi mlangoni... nikiwa katika hali ya kushangaa ndo mtu mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Thiago akanidokeza kuwa Messi alikuwa pale kusafisha nyota na kumtengeneza mpenzi wake Rocuzzo. Na moja ya masharti aliyopewa ni kutojiingiza kwenye mahusiano mengine.
 
Yaani bro na huo umri wako bado haujawajua vizuri wanaume wafupi walivyo na tumisimamo mshenzi

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo akifanikiwa yeye ni sawa ila sisi wengine ni wavulana tuliovurugwa na mapenzi ya chuo?
 
Most African men are womanizers.They're not loyal at all.

Ukiona mwanaume wa kiAfrica asiyechepuka jua huyo Ni Hana pesa umaskini unawaponza wanaume wengi Sana huku Africa ila wakizipata wanafunguliaa mbwa sio poa kbsa.
Nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa huku kwetu mtu akiwa hayupo vizuri kiuchumi anatulia ila akizipata na tabia inabadilika sana japo wapo wenye nazo na n waaminifu.
 
Tangu niponee chupu chupu miaka 3 ilopita sitaki kabisa kucheza tena na life! Kuwa na afya njema ni kitu kikubwa sana tulichopewa na Mwenyezi Mungu kwa wale waamini.

Kuwa Player sio kitu cha kujivunia kabisa. Tangu nigundue maisha yanahitaji utulivu acha nitulie tu hapa nilipo. Nikiona mizigo au shape naziangalia tu kwa mbali na kuomba nizidi kuepushwa na kikombe hicho.
 
Mkuu kila la heri, watu wengi tunapenda kujifunza kwa majuto na hii ni mbaya sana wakati kujizuia inawezekana.
 
chakata mbususu kama cr7, leo domo zege hata huyo mke wake alimpata kwa bahati tu, historia unaijua?
 
chakata mbususu kama cr7, leo domo zege hata huyo mke wake alimpata kwa bahati tu, historia unaijua?

Unaambiwa wameanza tokea zamani unaleta habari za domo zege.

Ok, na kuhusu kuwa makini kwenye picha na kushikana au ukaribu na walimbwende wengine nao ni domo zege?

Ita ukakavyoita lakini jamaa amechagua kujitenga na umalaya, kitu ambacho Kwa wanaume wengi ni mtihani bila kujali kipato ulichonacho.
 
Mkuu sitakiwi kuambiwa, leo alimpata mke wake kwa bahati tu, leo domo zege, hutaki kajinyonge, chakata mbususu za warembo kama cr7, leo domo zege huo ndo ukweli, mengine mbwembwe tu.
 
Mkuu sitakiwi kuambiwa, leo alimpata mke wake kwa bahati tu, leo domo zege, hutaki kajinyonge, chakata mbususu za warembo kama cr7, leo domo zege huo ndo ukweli, mengine mbwembwe tu.

Sasa hata hiyo ya kumpatia Kwa Bahati nayo si umeambiwa? Kuchakata mbususu sio hitaji kuu la Kila mwanaume, wewe kama ni kipaumbele chako zichakate kadri uwezavyo Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…