Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Alaf sijui kwanini nimeambiwa kuwa wanaume wakifika miaka 40-50 huwa tunawehuka. Yaani ndo kipindi kigumu sana cha ndoa. Usaliti njenje.
Naona kunakuwa hakuna cha kupoteza mke mwenyewe anakuwa wivu tena hana maana kama watt tayari anakuwa nao anaombea ujikoroge tu mambo yaende pasu kwa pasu 😄
 
Back
Top Bottom