Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Masupastaa wengi ambao wame wamewaoa mabinti ambao walikuwa marafiki wao wa utotoni karibia wote ndoa zao zipo imara.

Hapo linapokuja swala la body counts na bikra, sisi huku tunaokotana mtu amekuwa connected na roho kibao, kutoboa maisha ya ndoa ni kazi. Huyo Ronaldo na ndio wale waliokutana ukubwai anaishi kimitego na mke wake na ndio maana ,hajafunga nae ndoa.
 
Messi ni Jasusi Mtupu hapo usikute anakula mali kwa Usiri mkubwa sana, Ogopa sana Watu wakimya mimi mtaani kwetu ni kijana mwenye tabia za Mfano wa Kuigwa,

Ila endapo Wakifunuliwa wayajue mambo yangu aisee Mtaa mzima utataharuki na kwanza hawatoamini.
Kweli mkuu ukimya ni kitu kizuri lakini pia ni kificho cha maovu.
 
Masupastaa wengi ambao wame wamewaoa mabinti ambao walikuwa marafiki wao wa utotoni karibia wote ndoa zao zipo imara.

Hapo linapokuja swala la body counts na bikra, sisi huku tunaokotana mtu amekuwa connected na roho kibao, kutoboa maisha ya ndoa ni kazi. Huyo Ronaldo na ndio wale waliokutana ukubwai anaishi kimitego na mke wake na ndio maana ,hajafunga nae ndoa.
Huku tunaishi kwa kuviziana na kukomoana, talaka ilishaandaliwa inasubiri muda na sababu tu.

Cr7 sijui kama atafunga ndoa nadhani hawa watu maarufu watakuwa wana wataalamu wa kuwashauri kwenye sekta hiyo.
 
Messi ni Jasusi Mtupu hapo usikute anakula mali kwa Usiri mkubwa sana, Ogopa sana Watu wakimya mimi mtaani kwetu ni kijana mwenye tabia za Mfano wa Kuigwa,

Ila endapo Wakifunuliwa wayajue mambo yangu aisee Mtaa mzima utataharuki na kwanza hawatoamini.
Nakubaliana nawe 100% kwa sababu mimi n mkimya pia, kijana wa mfano ila kuna tabia ninazo ni hatarishi.
 
Back
Top Bottom