Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Huku tunaishi kwa kuviziana na kukomoana, talaka ilishaandaliwa inasubiri muda na sababu tu.

Cr7 sijui kama atafunga ndoa nadhani hawa watu maarufu watakuwa wana wataalamu wa kuwashauri kwenye sekta hiyo.
Anaogopa pasu pasu, Ronaldo mtoto wake wa kwanza mwanamke aliyezaa nae mpaka sasa hafahamiki.

Alimtafuta demu wakakubaliana amlipe baada ya kumzalia,demu baada ya kuzaa kapewa mzigo wake then akamwambia tusitafutane wala kujitangaza kwenye media yoyote.

Mwangalie LeBron James ,Snoop Dogg wote wameoa marafiki zao wa udogoni huko,mpaka sasa ndoa zao zipo imara.

Tena ulaya wanawake washenzi, unaweza kuoa baada ya miaka kazaa wanadai talaka, anajua mgawanyo wa mali unamuhusu. Ndio maana 50 Cent, Mayweather,De Caprio nk hawana time ya kuoa.

Ukiwa na hela unawindwa na Magold digger,ndio maana wenye hela wengi sometimes hawana time na ndoa wanazalisha basi .
 
Ni kuishi nao kwa akili tu hakuna namna wengi wapo kimaslahi.
 
Back
Top Bottom