Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

Poa,umeamka salama lakin
Kabisaa rafk yangu nimemaliza kufanya zoezi la kutengeneza shape sasa nataka kwenda kuoga niende zangu kwa mme wangu ofcn, nimeolewa kwa mkataba hadi miaka 60 ndio mkataba unaishaaa, ananitumia asbh hadi jioni kasoro week end tuu
 

Hizo hofu ni kuongopeana. Labda awe nayo mtu mjinga.

Mwerevu hawezi kuwa na hofu ambazo hazina impact yoyote kwenye maisha yake.

Niletee mwanamke yeyote mwenye hofu ya mungu nikuoneshe ushetani wake.
 
Lool … Namna pekee unayoweza kufanya mke wako awe wako peke ako ni mpe raha mzeee…. Mpige shangingi fungulia biashara disemba mpeleke nje ashangae shangae . Wallet iwe full kila saa🀣 wanaume wengine atawaona ka mafala 🀣🀣 wanawake ni dhaifu saana na wanajaribiwa wakiwa hawana furaha kifedha na kihisia.. mfurahishe huyo mwanamke. Hakikisha kila mwanaume akimwona anamuogopa bidada atembeee gari la mbung avae gold.
Hamna ataemsogelea
 
Hizo hofu ni kuongopeana. Labda awe nayo mtu mjinga.

Mwerevu hawezi kuwa na hofu ambazo hazina impact yoyote kwenye maisha yake.

Niletee mwanamke yeyote mwenye hofu ya mungu nikuoneshe ushetani wake.


DUNIANI kuna watu na watu wenyewe Ndio hawa πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mtoa mada anaweza yote haya? Lazima agongewe hakuna namna
 
Hiyo ni akili Yako, tukuletee wake zetu Ili iweje? Kama huna hofu ni wewe usipake watu matope, Baki na uchafu wako


Anavyoona MTU nafsini mwake NDIVYO alivyo na NDIVYO aishivyo, mwanadamu katika Dunia hi ni kama kioo tu tunaakisi tulivyo NDANI kwa ulimwengu unaotuzunguka Ndio maana huyo jamaa anaona Yeye kutokuwa na hofu ya MUNGU na wengine wote hawana Hofu ya MUNGU kitu ambacho sio Kweli




Ukiwa mwizi lazima utahisi unaibiwa kila wakati B'se hali ya MTU ya NDANI huathiri na ulimwengu unaomzunguka Ndio maana jamaa kwasababu Yeye ni mpumbavu Kwahiyo anahisi watu wote ni wapumbavu, hali yake ya NDANI imeathiri na ulimwengu unaomzunguka ni HATARI Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…