Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

Huyu hakimu ana huruma sana ingekuwa mimi Lisu pamoja na hao waliopiga mayowe wangeniamiia Shikamoo hakimu na shikamoo mahakama mahakama hata kama wamenizidi umri
Hizo nguvu hamishia hapa hakimu wa kuchora.
 
Utatukanwa na vilaza,hawajui chochote zaidi ya matusi,kumbukeni aliwahi ambiwa na Prof Kabudi wakiwa bungeni 2017 kuwa when you are called a lawyer u must have a sense of respect Leo kaangukia pua
 
Mahakamani ni sehemu flani inaitaji utulivu tena kwenye hizi kesi za kisiasa
 
Lisu uwezo wake unakuzwa tu ni mtu wa kawaida mno mwenye uwezo mdogo mno ila tu ana mdomo usiokuwa na breki lakini kichwani hazimo za kutosha
Hizi mtu aliyefeli form 4 [division 0] na amepewa PhD za kutunukiwa nyingi na kulazimisha aitwe Dr.

Na mtu aliyefika high school na akaenda chuo kikuu kusoma LLB na baadaye LLM

Hapo nani hazimo na ni nani hapo anayekuzwa?
 
Lisu ana akili gani kakaa miaka 20 yuko chini ya Mbowe division zero form six kama mwenyekiti wake na Mnyika division zero form six kama katibu mkuu wake CHADEMA

Hizo akili nyingi Lisu zimeanza lini labda?
 
Lisu ana akili gani kakaa miaka 20 yuko chini ya Mbowe division zero form six kama mwenyekiti wake na Mnyika division zero form six kama katibu mkuu wake CHADEMA
Saa hizi nani mwenyekiti?

Mnyika alipata zero?

Umeamua kuchekesha jukwaa ?
Hizo akili nyingi Lisu zimeanza lini labda?
Huyo Dr aliyefeli form four na PhD zake za kutunukiwa ndio ana akili nyingi?

Elimu ya Lissu ukitafuta machapisho imenyooka ila ya huyo Dr ina kona za kutosha kulikoni?
 
Elimu ya Lissu ukitafuta machapisho imenyooka ila ya huyo Dr ina kona za kutosha kulikoni?
Tanzania inahitaji maendeleo sio makaratasi ya machapisho

Sisi tunataka barabara nzuri,hospitali, shule,masoko ya.mazao,maji safi nk

Nani alikwambia watanzania tunahitaji machapisho au vyeti vya shule , digrii ,au mavitabu na machapisho aliyoandika mtu au kingereza chake

Tanzania tunataka mleta maendeleo sio mleta lundo la matabu na majarida ya machapisho
 
huu uropkaji wake ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini πŸ’
Mbona kuna viranja vibaka na matapeli wa kisiasa wengi tu,sema mfumo unawalinda.
 
Umesahau pia Tanzania tunahitaji hasara sio barabara nzuri.

Vipi hapo si mama anaupiga mwingi?

Na maendeleo si ndio hayo sasa.
 
Lisuu na wafuasi wake leo hii 2/06/2025 wamepewa onyo kali kwa kuonyesha utovu wa nidhamu mbele ya mahakama kwa kupiga mayowe/ makelele wakati mahakama imeketi na hivyo kutatiza taratibu za kimahaka.a.
wameaswa kuwa lazima mahakama iheshimiwe, mahakama sio uwanja wa siasa wala sokoni.
Sasa wakirudia tena kupiga makelele yao ya kisiasa miezi 6 jela inamhusu.

mara nyingi kinacho mpoza Lissu ni;
1. Ujuaji mwingi.
2. Ulopokaji eti kujiamini/anajiamini.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…