Mfumuko wa bei ni duniani kote na ukiamgalia kwa East africa Tanzania ndio inaongoza kutokua na mfumuko mkubwa wa bei ukilinganisha na nchi zingineBei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Mama anaupiga mwingi kuumiza wanyonge!
CCM MBELE KWA MBELEBei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Mama anaupiga mwingi kuumiza wanyonge!
CCM MBELE KWA MBELE MPAKA AKILI ZIWAINGIE,"UONGOZI SIYO UWEZO WA MTU BINAFSI BALI UONGOZI NI MFUMO"UONGOZI NA GARI AU MACHINE YOYOTE NI KITU KIMOJA ISIPOKUWA TU MADREVA AU MAOPERATOR WANAWEZA KUWA TOFAUTI,CHOMBO KIKIWA KIZURI KITAENDESHWA VEMA NA KIKIWA KIBAYA KILA ATAKAYEKITUMIA LAZIMA APITIE MACHUNGU.Bora kutekana kuliko hali ya sasa....watu wanateseka mno. Umeme na maji ni vitu basic sana kwa mtanzania wa sasa....ila hayo hamyaoni.
Wananchi wanalalamika, Mrs tourism naye anawalalamikia wananchi.
Big sign of incompetence in that high office.
CCM MBELE KWA MBELEHizo kauli za uwepo wa hujuma ni za kujihami tu ili kuficha madhaifu lakini kiuhalisia utendaji ni mbovu na hakuna mategemeo katika lolote.
Check and balance in argument is very compulsoryAngetekwa mama yako leo unge comment hivi?
Afrocans were proud with magufuli but not fool tanzaniansKwa vile hakuna WATU WASIOJULIKANA na hakuna habari za kutekana tekana ovyo.
Hakuna kugawa kugawa fedha ovyo barabarani.
Matatizo mengine ni ya kimfumo wa wa CCM kuwa mbovu.
Huyu mama atutawale tu kule yule mzee wa Chato. Nchi iliongozwa kishamba mpaka ikawa aibu kusema I'M A TANZANIAN.
We ni binadamu au kunguru?Kwa vile hakuna WATU WASIOJULIKANA na hakuna habari za kutekana tekana ovyo.
Hakuna kugawa kugawa fedha ovyo barabarani.
Matatizo mengine ni ya kimfumo wa wa CCM kuwa mbovu.
Huyu mama atutawale tu kule yule mzee wa Chato. Nchi iliongozwa kishamba mpaka ikawa aibu kusema I'M A TANZANIAN.
Wapayukaji mpo. Mtapaka rangi Hadi mkome mama ni goigoi.Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya uongozi shupavu wa Rais mama Samia suluhu Hassani umekuwa Ni uongozi uliojikita katika kuwatumikia watanzania, imejikita katika kutatua matatizo ya watanzania,kutoa majibu kwa maswali, kuleta matumaini kwa waliokata Tamaa, kuonyesha njia kwa waliopoteza njia,kuleta mwanga kwenye maisha ya watanzania waliopoteza nuru na kuona Giza machoni mwao,kuleta Tabasamu katika maisha ya watanzania kwa walio na huzuni.
Hakuna kero ambayo haifanyiwi kazi na serikali ya Mama Samia,hakuna swali linalokosa majibu. Vijana Wana Imani na uongozi wa mama Samia kwani Ni mashahidi kuwa muda mfupi tu baada ya kuapishwa Rais Samia alitoa maelfu ya ajira katika secta mbalimbali zinazofikia elfu 42, Hali hii ilileta kicheko na furaha kwa vijana wengi wa kitanzania walioguswa na kupata ajira hizi
Ukienda katika wakulima unakuta wamejaa Tabasamu usoni Pao Hadi mioyoni mwao baada ya Rais Samia kutoa mbolea za Ruzuku ambazo zimewanufaisha wakulima wengi sana,.
Ukienda katika Afya,Elimu, n.k unakuta kazi kubwa imefanyika katika kugusa maisha ya mtanzania
Sio kweli kwamba wananchi hawana mbadala, ni kwamba wananchi wameridhika na kila hali hata kama ni hali ya mateso, wangekua hawajaridhika wangekua barabarani miaka mingi na tungeshaisahau ccm kabisaaaBei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Mama anaupiga mwingi kuumiza wanyonge!
Hivi wewe ni mwanamke au mwanaume? Au ni jinsia mchanganyiko?Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya uongozi shupavu wa Rais mama Samia suluhu Hassani umekuwa Ni uongozi uliojikita katika kuwatumikia watanzania, imejikita katika kutatua matatizo ya watanzania,kutoa majibu kwa maswali, kuleta matumaini kwa waliokata Tamaa, kuonyesha njia kwa waliopoteza njia,kuleta mwanga kwenye maisha ya watanzania waliopoteza nuru na kuona Giza machoni mwao,kuleta Tabasamu katika maisha ya watanzania kwa walio na huzuni.
Hakuna kero ambayo haifanyiwi kazi na serikali ya Mama Samia,hakuna swali linalokosa majibu. Vijana Wana Imani na uongozi wa mama Samia kwani Ni mashahidi kuwa muda mfupi tu baada ya kuapishwa Rais Samia alitoa maelfu ya ajira katika secta mbalimbali zinazofikia elfu 42, Hali hii ilileta kicheko na furaha kwa vijana wengi wa kitanzania walioguswa na kupata ajira hizi
Ukienda katika wakulima unakuta wamejaa Tabasamu usoni Pao Hadi mioyoni mwao baada ya Rais Samia kutoa mbolea za Ruzuku ambazo zimewanufaisha wakulima wengi sana,.
Ukienda katika Afya,Elimu, n.k unakuta kazi kubwa imefanyika katika kugusa maisha ya mtanzania
Hii tabia ilianza tangu awamu ya mwendazake na tena walikua wanakopa kwa siri halafu wanatudanganya kwamba wanatekeleza kwa fedha za ndaniPoint no 1.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Lambalamba fc. Kwa hyo maji ya matumizi nayo tumlaumu hakuweka vyanzo mbadala akaendelea kuunganisha mabomba tu kwa wananchi,? Alaumiwe asiyekuwepo ili iweje? Aliyepo kama kiongozi ndo apambane. Mbona km mlitaka Magufuli atoke mkutane na mteremko sana muonekane mnapiga kazi, kila awamu ipambane na changamoto inazokumbana nazo mambo ya fulani ndo chanzo sisi wananchi hatuyajui. Nani alijenga bomba la gesi kutoka kusin kuja dsm?Anaborongaje? Ndio maana Wananchi wanawapuuza..
Yaani ukamwambie mkulima arudi Misri kuuza gunia 20,000 ili wewe wa Mjini na likitwmbi lako unenepeane kwa jasho lake? Rais na Wakulima walishakataa huo upuuzi..
Kama huna Pesa za kuishi Mjini Rudi kijijini huwezi endelea kulalamika Hadi 2030..
Ukame uliosababisha maji na umeme kupungua hajaleta Rais bali mlaumuni yule taahira Mwendazake aliyeamini Nchi haiwezi kukimbwa na ukame akaweka vyanzo mbadala vya umeme na mabwawa ya maji..
Mwisho umeme na Maji sio madarasa kwamba utajenga kwa miezi 4 vikakamilika,lazima msubirie mwaka zaidi ndio nafuu ije.
Kukopa kulianza zamn syo awamu ya 5 tu. Mbona mnajitoa akili sana nyie ccm kisa awamu x hukulamba sukari km awamu zingine?Hii tabia ilianza tangu awamu ya mwendazake na tena walikua wanakopa kwa siri halafu wanatudanganya kwamba wanatekeleza kwa fedha za ndani
Tabia imeota sugu na mbawa kabisaa
So wewe Mshana utalala usingizi mnono hii nchi apewe Mbowe, Sugu, Lema???Point no 2
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.