Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tunaye baba mmoja tu, ndiye Mungu wa mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ili uunde Adhabu ni lazima kosa liwepo, ukisema usiuwe na Adhabu yake ni hii, it means watu walikuwa wanauwa kabla ya kutungwa Sheria au Adhabu, na tafsiri ya kosa Kwa Mungu ni dhambi
Yaani Mungu aumbe dhambi yeye ili akupe adhabu yeye tena?. Unadhani hoja yako ina mashiko?. Mungu anajua hatari ya mtu kuamua kutumia uhuru wake vibaya ndio maana anatusaidia kuishi katika ubora wetu kwa kutupa amri. Ni upendo ulioje!!!ili uunde Adhabu ni lazima kosa liwepo, ukisema usiuwe na Adhabu yake ni hii, it means watu walikuwa wanauwa kabla ya kutungwa Sheria au Adhabu, na tafsiri ya kosa Kwa Mungu ni dhambi
kwahiyo Hadi Mungu kusema anatoa Adhabu maana yake kashaumba makosa ambayo anajua kuwa mtayafanya tu, so kwa lugha nyepesi dhambi pia ameumba yeye
Ukisema anatusaidia unamaanisha nini Mkuu? Ikiwa teyari kaumba moto wa milele unasubiria tu watu wakaungue huoni kama alijiandaa juu ya hili sa ukisema anatusaidia sikuelewiYaani Mungu aumbe dhambi yeye ili akupe adhabu yeye tena?. Unadhani hoja yako ina mashiko?. Mungu anajua hatari ya mtu kuamua kutumia uhuru wake vibaya ndio maana anatusaidia kuishi katika ubora wetu kwa kutupa amri. Ni upendo ulioje!!!
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Uzuri sio watu wote watatupwa kwenye huo moto ila wale tu walioamua kwa hiyari yao kutupwa huko ndio watakaotupwa. Uhuru wa kuamua ndio raha hasa ya maisha.Ukisema anatusaidia unamaanisha nini Mkuu? Ikiwa teyari kaumba moto wa milele unasubiria tu watu wakaungue huoni kama alijiandaa juu ya hili sa ukisema anatusaidia sikuelewi
Amesema ameumba mazuri na ameumba mabaya, Sasa kama ameumba mabaya ambayo ndio chanzo Cha dhambi unamtenganisha vipi hapo na uumbaji wa dhambi yenyewe?
Angekuwa anatusaidia kama ulivosema kusingekuwa na ulazima wa uumbaji wa mabaya na uumbaji wa moto wa milele, sa akuchome milele yeye anapata faida Gani labda?
unataka kunambia wale wazee wetu ambao walifariki kabla hawajafikiwa na injili ya na hawakupata wasaa wa kujua kuwa yesu ndio njia ya kutupeleka Kwa Baba mbinguni wao watahukumiwa vipi ili wapatikane watakao ingia kwenye moto na ambao hawataingia kwenye motoUzuri sio watu wote watatupwa kwenye huo moto ila wale tu walioamua kwa hiyari yao kutupwa huko ndio watakaotupwa. Uhuru wa kuamua ndio raha hasa ya maisha.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kila mtu atawajibika kwa maamuzi yake,hamna namna. Kitendo cha Mungu kutuletea Yesu kazi yake aliimaliza. Aaminiye ataokoka,asiyeamini atahukumiwa. Kumwamini Mungu ni jambo la hiyari lakini lenye matokeo.Ukisema anatusaidia unamaanisha nini Mkuu? Ikiwa teyari kaumba moto wa milele unasubiria tu watu wakaungue huoni kama alijiandaa juu ya hili sa ukisema anatusaidia sikuelewi
Amesema ameumba mazuri na ameumba mabaya, Sasa kama ameumba mabaya ambayo ndio chanzo Cha dhambi unamtenganisha vipi hapo na uumbaji wa dhambi yenyewe?
Angekuwa anatusaidia kama ulivosema kusingekuwa na ulazima wa uumbaji wa mabaya na uumbaji wa moto wa milele, sa akuchome milele yeye anapata faida Gani labda?
Watahukumiwa kwa sheria iliyoandikwa kwenye dhamiri za nafsi zao.unataka kunambia wale wazee wetu ambao walifariki kabla hawajafikiwa na injili ya na hawakupata wasaa wa kujua kuwa yesu ndio njia ya kutupeleka Kwa Baba mbinguni wao watahukumiwa vipi ili wapatikane watakao ingia kwenye moto na ambao hawataingia kwenye moto
Hapo umeniacha Mkuu, naomba unieleweshe, mfano wa Sheria iliyoandikwa kwenye dhamiri za nafsi zao, ndio kama zipi?Watahukumiwa kwa sheria iliyoandikwa kwenye dhamiri za nafsi zao.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Au Kwa lugha nyepesi unakubali kwamba mtu anaweza asimkubari yesu kuwa ni mwokozi na Mkombozi wa maisha yake na bado akaingia pepeoni kutokana na matendo yake sindio?Watahukumiwa kwa sheria iliyoandikwa kwenye dhamiri za nafsi zao.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Huhitaji Biblia kujua kwamba hupaswi kumtendea jirani yako mabaya kwa sababu hata wewe hupendwi kutendewa mabaya(Hilo tu ni Biblia tosha).Hahitajiki mhubiri akwambie eti kuna Mungu muumba wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Ukitafakari kila kilichopo kimekujaje utapata picha kamili kwamba vimeletwa na mletaji. Hahitajiki mtume kukupasha habari kwamba kuna maisha baada ya kifo ambayo ni matokeo ya jinsi ulivyotumia uhuru uliopewa ukiwa hai. Ukitafakari thamani ya uhai,halafu kuna watu hapa duniani wamejivika u-untouchable kwamba wanaweza kufanya chochote na wao wasifanywe chochote utapata picha kwamba aliyewapa huo uhai ndiye anayeweza kuwafanya chochote. Haihitajiki Biblia hapo. Ni kutumia utashi uliopewa tu. Na ndio huo tutakaohukumiwa kwao.Hapo umeniacha Mkuu, naomba unieleweshe, mfano wa Sheria iliyoandikwa kwenye dhamiri za nafsi zao, ndio kama zipi?
Hapo ni kabla hujasikia habari za Yesu katika uhalisia wake na thamani aliyo nayo kwenye maisha ya mwanadamu. Lakini ukisikia tu tayari kazi ya Mungu kwako inakuwa imeisha, inabaki kwako sasa kuamua kumwamini au la. Yesu ni grisi ya kutufanya sio tu tuyaishi mapenzi ya Mungu bali tuenjoy kuyafanya mapenzi ya Mungu na siyo kwa kujilazimisha kwa hofu ya kutupwa motoni. Yesu ni tiketi ya Mungu kuishi na kutenda kazi(kujidhihirisha) ndani ya nafsi zetu. Yesu ni daraja linalotuunganisha na Mungu muumba wetu. Kuna mengi ya kufaidi kwa Mungu na sio amri zake tu. Narudia tena kama hujawahi kusikia kuhusu thamani ya Yesu kwa maisha yako kwa namna ambayo Mungu anataka usikie kaa ukijua Mungu anamuandaa mjumbe wake mwaminifu aje akupashe habari hii njema,ndani nje,nje ndani,ukiamini utaokoka,usipoamini utahukumiwa. La,kama hujasikia mpaka umauti unakufika hilo sio kosa lako(ingawa Mungu huifanya kazi adhimu ya kuzuia watu wasife kabla hawajaisikia Injili kwa namna ambayo Mungu mwenyewe ataridhika kwamba huyu tayari kashasikia. Kifupi Hukumu ya Mungu haina longolongo wala ubabaishaji). Utahukumiwa kwa sheria iliyoandikwa kwenye dhamiri ya nafsi yako. Maana ni wazi mavuno ni mengi lakini watenda kazi 'waaminifu' ni wachache.Au Kwa lugha nyepesi unakubali kwamba mtu anaweza asimkubari yesu kuwa ni mwokozi na Mkombozi wa maisha yake na bado akaingia pepeoni kutokana na matendo yake sindio?
Kwahiyo yesu sio njia pekee ya kwenda Kwa Baba mbinguni ispokuwa Zipo njia zingine nyingi ila iliyo kubwa ni matendo ya mtu mwenyewe?
Hawezi kukujibu hiyo hoja zaidi ya kukuletea porojoUnaongeleaje Isaya 45:7
Soma hapa Mithal 16;4-5Unaongeleaje Isaya 45:7
Kwakua ongezea hii hoja...Hapo ni kabla hujasikia habari za Yesu katika uhalisia wake na thamani aliyo nayo kwenye maisha ya mwanadamu. Lakini ukisikia tu tayari kazi ya Mungu kwako inakuwa imeisha, inabaki kwako sasa kuamua kumwamini au la. Yesu ni grisi ya kutufanya sio tu tuyaishi mapenzi ya Mungu bali tuenjoy kuyafanya mapenzi ya Mungu na siyo kwa kujilazimisha kwa hofu ya kutupwa motoni. Yesu ni tiketi ya Mungu kuishi na kutenda kazi(kujidhihirisha) ndani ya nafsi zetu. Yesu ni daraja linalotuunganisha na Mungu muumba wetu. Kuna mengi ya kufaidi kwa Mungu na sio amri zake tu. Narudia tena kama hujawahi kusikia kuhusu thamani ya Yesu kwa maisha yako kwa namna ambayo Mungu anataka usikie kaa ukijua Mungu anamuandaa mjumbe wake mwaminifu aje akupashe habari hii njema,ndani nje,nje ndani,ukiamini utaokoka,usipoamini utahukumiwa. La,kama hujasikia mpaka umauti unakufika hilo sio kosa lako(ingawa Mungu huifanya kazi adhimu ya kuzuia watu wasife kabla hawajaisikia Injili kwa namna ambayo Mungu mwenyewe ataridhika kwamba huyu tayari kashasikia. Kifupi Hukumu ya Mungu haina longolongo wala ubabaishaji). Utahukumiwa kwa sheria iliyoandikwa kwenye dhamiri ya nafsi yako. Maana ni wazi mavuno ni mengi lakini watenda kazi 'waaminifu' ni wachache.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Safi kabisaKwakua ongezea hii hoja...
Acts 17:30-31
Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu.
Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa mtu yule aliyemchagua; naye amewapa watu wote uthabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu.
Siku atakauowahukumu kwa haki ndiyo siku ambayo atatoa haki kwa WALE waliokubali kufuata Utaratibu/sheria alizoziweka
Walio zifuata wataishi milele waliokataa kuzifuata na kufuata matakwa yao na maoni yao binafsi wata teseka milele.
Iko hivyo maisha bila utaratibu ni fujo..
Hakuna mzazi ambaye anapenda watoto wake wake bila utaratibu hata kama anawapenda kiasi gani..
Kama katoa utaratibu nyumbani kwangu wanangu ikifika saa 2;30 mlango ufungwe..
Basi wengine wanapovunja utaratibu mwingine aingie saa 4 mwingine saa 7 mwingine saa 9 mwingine saa 11,hawa wote wakikujia kwa style hiyo ni wazi watakuwa wapo kinyume na ni kama nyumba haina utaratibu wa kuingia ndani.
Kwaivyo wote watastahili adhabu..
Kwaio adhabu inafuata baada ya kuvunja sheria na kanuni zilizowekwa.
Watu wamechanganyikiwa kiongozi.Mtu haamini Mungu halafu anauliza maswali ya kwanini Mungu kafanya hivi na hakufanya hivi? Ndio maana kunakuwa na mabishano yasio na msingi wowote, kwa sababu kwanza hayo maswali yenye anayokuuliza utafikiri anakuuliza kuhusu uhusika wa mtu kwenye story ambayo wewe ndio muandishi yani mtu anataka uwe na majibu ya kila swali analojisikia kuuliza kuhusu huyo Mungu kitu ambacho kiuhalisia hakileti maana.
Mtu haamini dini vitabu vya dini wala huyo Mungu mwenyewe, sasa tukianza kujadili kuhusu sijui upendo au uwezo wa Mungu unadhani tutaelewana kweli?
Mungu hajaumba dhambi mkuu,he is a righteous God,so he cannot be associated with sin.Architect wa dhambi ni Shetani.Alifanikiwa kumfanya mwanadamu amuasi Mungu kwa kumdanganya Hawa bustani ya Eden and consequently akakata mawasiliano ya Mungu na roho ya mwanadamu.This made it possible for Satan to communicate with the human mind directly and then body.Remember that once you have control of the human mind you have total control over the body.Habari!
Hapa nazungumzia hawa miungu au Mungu maarufu duniani ambao mafundisho yao yameenea sana.
Dini hizi zilizoonea sana zinasema kuwa Mungu ni;
- Baba(mzazi)
-Muweza wa yote
-Yupo kila pahali
-Anajua yote
--Muumba
-Mwenye huruma.
*****Atakayewachoma moto watu wote wasiomtii na watenda dhambi.
Sasa imagine, kama dhambi anaichukia kwanini aliiumba?
Ok, tuseme yeye hajaleta dhambi,je, ni nani huyo mwenye nguvu akaweza kuumba kitu ambacho Mungu hakipendi?.
Ok. Kwanini hakuifanya hiyo dhambi isiwe na uwezo wa kumsogelea mwanadamu na badala yake mwanadamu atawaliwe na good will na uchaji tu mbele za Mungu ili adhma ya Mungu ya kuonyesha upendo ionekane?
Swali linguine: Je, mtu aliyetenda dhambi kwa siku mbili akihukumiwa adhabu ya moto wa milele (trilion and quadrillions of years ) ni sawa tuiite hiyo ni hukumu ya haki?
Mwanadamu yeyote asiye kichaa anatamani awe na watoto bora hivyo hujitahidi kumpeleka shule nzuri, kumchunga awapo nyumbani n.k ili awe mtoto bora ila muda mwingine huharibika kwasababu zilizo nje ya uwezo wake. Je, wanadamu watakapoingia motoni tuseme ni matokeo ya sababu zilizo nje ya uwezo wa Mungu muumba wake, yaani kuna jambo alitamani lakini ameshindwa?
Je, bado tumwite muweza wa yote?