Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

Nahisi huyo ndio alikuwa wako wa maisha.
 
Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha .

Niko tofauti na ww.
Wanawake loyal wako wengi tu.
tena sana.

Ni namna ya wewe mwanaume mwenye wadhifa kutuliza kichwa na kuchagua.

Ukiendekeza nyege. Ukasema unataka ukojoe pazuri wakat ww ni wasira, ukaoa mrembo kisa tu una hela.
Niamini ndoa itakuwa chungu kwa miaka yote michache utakayojaliwa kuishi na huyo mwanamke.

Mwanaume jitathimini, tuliza akili na ndio uoe.

usiangalie matako na sura nzuri, utalia kama ambulance huko mbeleni pindi wadhifa ukipungua.

Na pia na Sisi tutulie. Vingne tunajitakia. Umeshaoa . Mwanamke ametulia alafu na ww unamletea vibwanga. Atakuzingua tu one day.
Na kama asipokuzingua, hatakuonyesha ila atakuwa na wapenz wake pembeni.
 
Taasisi ya ndoa imekwisha kufa hususani kwenye jamii zilizopokea na kuuenzi utandawazi, tukubaliane na mabadiliko ya ulimwengu.
Mahusiano mengi yamehamia kwenye miamala tofauti na hapo awali, pia upatikanaji wa wanaume kwa wanawake umekuwa rahisi kupitiliza, supply ya ngono imekuwa kubwa kuliko demand
 
Bwashee wewe utavuka vipi vigezo vya uzuri kama mwanaume, hapa tuache unafki🤔
 
 

Ukiona mwanamke unampata kirahisi kwa ngono kuna haya mawili.

1. Ana mtoto/watoto. Na alishawaza kuwa kwa kuwa baba ametelekeza bas wanaume wenzake watalea kwa namna yoyote ile.

2. Mwanamke hana kipato na anategemea mwanaume amwamue kiuchumi.
Kuna uzi kibao hapa JF wanaume wanaomba hela . Sasa imagine akiwa mwanamke. Si atamkubalia mwanaume yoyote anayekuja mbele yake kwasababu atampa hela ili aishi.
Hali ni mbaya.

Ila wanawake decent wako, wana maisha yao. Wife material kabisa.

Na pengne mazingira yako unakutana na wanawake ambao wao chanzo chao cha kipato ni wanaume.

ila jua kuwa kuna wanawake wanapambana na Wanasubiria mwanaume sahihi kumfuata.
Na wako wengi tu.
 
Bwashee wewe utavuka vipi vigezo vya uzuri kama mwanaume, hapa tuache unafki🤔

Mwanetu Hata kama una hela ,
Hebu jiangalie ww ni wa namna gani.
Kwa mfano, ww mfupi, ila una hela. Na ukakutana na mwanamke mrefu mzuri. Na ukampenda, Unahisi huyo mwanamke atakuwa amekupenda ww au hela zako?

Lakin tukiangalia upande mwingine. Je ni kweli umekosa mwanamke mzur wa dzaini yako ambayr ukajua kabisa huyu kanipenda mm kama mm na hela zikaongeza upendo.
 
Nyie chichagueni bwashee mkijipata mniweke na mimi🤣🤣🤣

Kuna kipind mwanamke anapitia msoto.
Mwanamke ni mzuri ila Hadi anajiona ana gundu.

Kapiga goti sana kwa Mungu. Akateleza na hadi kwa waganga kaenda.

Katulia kidogo. Mara paapu. Kajamaa kama Mbaga Jr keusi kana kakitambi kake ila ana hela zake.

Amemuhakikishia mdada hela ya kodi , Kula na biashara ndogo Na kagar kadogo kama IST kampa.
Unafikiri mdada atachomoa hapa? 😊😊😊.

Lakini. Shida sio mdada.
maana mdada alishajiandaa kupokea muujiza kwa yoyote anayeletwa na Mungu.

Shida ni aliyemfuata mdada ,
Mbaga anajua kabisa Levels sio zake. Ila Mbaga akaona haya mapenz sijawah kupewa ngoja azamie. Maana mapenzi ni ya sayar ya mars, na akazama kweli.

Ila sasa aftermath. Bidada hakuwa amempenda Mbaga..alipenda hela za mbaga. Sasa Hela zikikata.

Nani wa kulaumiwa?.
Huu ni mfano halisi kabisa wa jamii yetu.
 
Ndio maana sitaki mlokole , walokole ni wapumbavu tu bora nipate walevi wenzangu tu bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…