Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Hakuna kitu kiitwacho kipaji, ndiyomaana Watu hao hao waliogundua kitu flani ukiwakalisha pamoja na kuendelea kuwapatia elimu na maarifa lazima atapatikana miongoni mwao ambaye atagundua kitu kupitia hicho hicho walichokuwa wanajifunza, kitakuwa bora zaidi au hata kuleta maana zaidi kuliko hata yeye aliyegundua kitu cha awali.Kipawa -Jinias - Hali ya juu ya utendaji.....Hapa ndipo yanapozaliwa madaraja na ukuu wa Watu.
Kasome post yangu ya pili kumjibu mleta mada Kuna jibu lako pale.
Utaalamu wa kutenda mambo fulani yaani kuliona Jambo ktk vipande vyake vyote kabla hujalifikia kilaza wa field hiyo atabakia kushangazwa tu.
Wazee wa hoja za vipaji wanajichanganya sana na ni dalili tosha kuwa Mleta mada umewapiga za uso wamebakia kutapa tapa tu 😄Kwa hiyo hapa tumekubaliana kuwa kipaji/talent is not something inborn siyo? Bali ni kujingenezea au kutafuta namna rahisi ya kufanya jambo kiuwepesi yaani kujitengezea formula fulani ya tofauti kwenye akili yako tofauti na watu wengine.
Eti wanadai kuwa Messi ana kipaji cha mpira Neymar naye ana kipaji cha mpira lakini cha kushangaza ni kwamba wote wana namna yao ya uchezaji. (Hawana uniformity katika matendo yao wkati walikuja na uwezo huo duniani)Hakuna kitu kiitwacho kipaji, ndiyomaana Watu hao hao waliogundua kitu flani ukiwakalisha pamoja na kuendelea kuwapatia elimu na maarifa lazima atapatikana miongoni mwao ambaye atagundua kitu kupitia hicho hicho walichokuwa wanajifunza, kitakuwa bora zaidi au hata kuleta maana zaidi kuliko hata yeye aliyegundua kitu cha awali.
Mfano; aliyegundua computer alifanya vizuri ila aliyekuja kugundua AI Robots amefanya vizuri zaidi sababu hufanya vitu vingi kwa pamoja, kwa ufanisi na uharaka zaidi kama matibabu na kukuza uchumi.
Je kati yao wote wana vipaji au hawana vipaji, ni kwanini wawe na vipaji na wasiwe na jitihada na imani binafsi zilizopelekea kupata ubunifu na maarifa hayo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wanalishwa vitu vya ajabu na wazungu. Hii ni neo colonialism kwa kweli.Wazee wa hoja za vipaji wanajichanganya sana na ni dalili tosha kuwa Mleta mada umewapiga za uso wamebakia kutapa tapa tu 😄
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mkubwa em soma vizuri bandiko langu naamini kuna sehemu bado haujaelewa.Kwa hiyo hapa tumekubaliana kuwa kipaji/talent is not something inborn siyo? Bali ni kujingenezea au kutafuta namna rahisi ya kufanya jambo kiuwepesi yaani kujitengezea formula fulani ya tofauti kwenye akili yako tofauti na watu wengine.
1899-1903 akiwa nyumbani kwake pineville nakukabidhiwa hatimiliki yake ya uvumbuzi mwaka 1906 .japo uvumbuzi wake ulikuwa tayari ushaibwa na wright brothersAlivumbua ndege mwaka gani.
Nchi zetu za dunia ya 3 nyingi sana hazikujikita katika kuendeleza vipaumbele vyao ikapelekea Watoto hao kupoteza vipaji vyao na kufanya vitu vingine kabisa kimaisha ila wakafanikiwa kuvitendea haki kwa ubora wa hali ya juu sana kuliko hata wao wenyewe walivyokuwa wanategemea.Kujijua wewe ni Nani ?
Umebeba potential gani ndani yako ukawa hujui Hadi kuja kujua na kuamua kuondoka hofu na kuamini kuwa wewe ni mziki na utakomaa ulipwe Ada na Sio mshahara bhasi umesogelea chemi chemi ya maisha yako
Haya, yeye ana kipaji gani?1899-1903 akiwa nyumbani kwake pineville nakukabidhiwa hatimiliki yake ya uvumbuzi mwaka 1906 .japo uvumbuzi wake ulikuwa tayari ushaibwa na wright brothers
Niambie.
Nilitaka nikubaliane na wewe kaka ila nikakumbuka maneno kama yako kutoka kwa boss akinisisitiza nijiunge timu ya kazini na mimi niwe napiga kabumbu 😭Habari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)
Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.
Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.
-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?
Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.
Bye bye 👋.
"Kipaji hakifundishwi, ni uwezo wa asili wa kuona au kufanya jambo fulani kwa namna fulani"Mkubwa em soma vizuri bandiko langu naamini kuna sehemu bado haujaelewa.
Uwezo wa asili wa kufanya kitu kuzidi uwezo wa kawaida wa wengine (kwa navyoelewa).Mkuu hebu define neno kipaji ndipo tuendelee na malumbano.
Hahaha 😂 mkuu pole kwa yaliyokukuta.Nilitaka nikubaliane na wewe kaka ila nikakumbuka maneno kama yako kutoka kwa boss akinisisitiza nijiunge timu ya kazini na mimi niwe napiga kabumbu 😭
Boss ni mkubwa kaka na mimi siku nikakubali ombi lake nisijue amechoka kuliona tumbo langu kuwa kubwa kuliko lake aloooh nilikimbia uwanja mara mbili ya tatu nilikuwa natoa ulanzi tu mdomoni ni hapo nikawa nachekwa bila huruma na staff wenzangu .
Kipaji kipo ndugu usiwadanganye watu bure
Nashukuru kaka ila sasa wananiita didier Kavumbangu sasa sijui naye yalimkuta madhira kama yangu?Hahaha 😂 mkuu pole kwa yaliyokukuta.
Hakuna uwezo wa asili ambao unazaliwa nao unaokutofautisha na wengine. Yaani ghafla bin vuu utoke tumboni mwa mama yako ukiwa tayari unajua kuimba au kucheza boli? Sahau hicho kitu.Uwezo wa asili wa kufanya kitu kuzidi uwezo wa kawaida wa wengine (kwa navyoelewa).
Malizia na huo mfano wangu wa wanafunzi"Kipaji hakifundishwi, ni uwezo wa asili wa kuona au kufanya jambo fulani kwa namna fulani"
☝️ Hata sasa hivi siyo lazima ufundishwe. Unaweza ukafanya jambo fulani kwa namna fulani kutokana na kutumia akili yako vizuri.
Mzee wa batalokota benyewe kunyavu siyo?😁Nashukuru kaka ila sasa wananiita didier Kavumbangu sasa sijui naye yalimkuta madhira kama yangu?
Sawa nimesahau.Hakuna uwezo wa asili ambao unazaliwa nao unaokutofautisha na wengine. Yaani ghafla bin vuu utoke tumboni mwa mama yako ukiwa tayari unajua kuimba au kucheza boli? Sahau hicho kitu.
Haya tuseme Messi na Neymar wote wana kipaji cha kucheza mpira wa miguu, swali ni je kwanini wanacheza kwa styles tofauti tofauti wakati walitoka tumboni mwa mama zao wakiwa tayari na uwezo huo wa kusakata kabumbu?Malizia na huo mfano wangu wa wanafunzi
Hongera kwa kuikubali kuwa hakuna kitu kiitwacho kipaji.Sawa nimesahau.