Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Hiyo hutokea tu
Brazil Kuna vipaji vya mpira
India ni watu dhaifu miwili Yao haina minguvu utawakuta kwenye taaluma au uigizaji
Brazil wako vizuri kwa sababu soka kwao ni kama sehemu ya utamaduni. Mbrazil haipiti siku bila kuwaza mpira na Wana practice tofauti na wachina na wahindi ambao wao wanawaza mambo mengine.

Mtu angekuwa anazaliwa na uwezo fulani basi kungekuwa na wahindi footballers wakubwa, wahadzabe footballers wakubwa duniani, wachina footballers wakubwa 😎
 
tofauti ya ubongo wako na mavi ni joto tu. Kweli umbea wa mtaani uufananishe na mathematics. Kuna sehemu ya ubongo wako haiko sawa
 
Mkuu hayo ndiyo maneno. Japo waafrika wasiotaka katafakari vitu wanaweza wasikuelewe lakini kiukweli umenena vyema sana.

Cc ngara23 Dr am 4 real PhD
 
Neno Kipaji inategemea na definition; kwahio siongelei kipaji ila naongelea tools / nyenzo ambazo mwingine akiwa nazo anaweza kufanya kitu fulani ambacho wewe huwezi; mtu mrefu (ngongoti anaweza akawa mzuri kwenye basketball) kuliko anduje ila anduje akawa bora kwenye mpira kutokana na lower center of gravity hivyo kuwa kazi kumuangusha... (depends ni nani anatumia vizuri tools alizonazo)

Je wewe unaweza kuogelea kuliko samaki au unaweza kukimbia kama mtu mwenye miguu mirefu with all other things being equal ?

Kwa ufupi unaweza ukawa na nyenzo (kutokana na maumbile au wewe binafsi ulivyo) kwahio skills ni kutumia nyenzo hizo kwa ufanisi..., ni kama wewe una nyundo na hauitumii mimi naweza kuwa na jiwe lakini sababu nalitumia daily nikafanikiwa...

Talent is no Substitute for Hard Work....
 
tofauti ya ubongo wako na mavi ni joto tu. Kweli umbea wa mtaani uufananishe na mathematics. Kuna sehemu ya ubongo wako haiko sawa
Mkuu wazungu wamekuaminisha ujinga ili wakutawale kirahisi.

Namshindwa kukuelekeza maana huelekei.
 
Mwanadamu yeyeto anao uwezo wa kufukuzwa chochote na akawa mahiri kwa hicho
Na Kila mtu ana uwezo mkubwa bila yeye kujua kwa, ukishazoea kitu unakiona cha kawaida tu kwa mfano ukizoea kukaa chooni unakuwa huhisi harufu ya vinyesi.

Majasusi wanaweza kuongozwa na hisia zao kwa sababu wamefunzwa namna ya kuziibua.
 
Yaani ninichokikataa ni hii dhana ya kipuuzi ya kusema mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kufanya kitu fulani kama definition ya kipaji inavyosema.
 
Na hao watoto utakuta wamezaliwa watatu familia moja malezi sawa lakini si wote wanakariri umbea.
 
Yaani ninichokikataa ni hii dhana ya kipuuzi ya kusema mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kufanya kitu fulani kama definition ya kipaji inavyosema.
Kutokana na genes mtu anaweza kuzaliwa na tools za kufanya kitu fulani kuliko mwingine sasa kama atazitumia hizo tools au kuboresha that is another matter

Kama vision yako ni 20/20 au una genes ambazo wengine wanaona unavutia huenda ukafanya vyema kwenye shughuli zinazohitaji appearance..; Au una sura ya kuchekesha huenda comedy ikawa rahisi kwako... (Tools of the Trade)
 
Na hao watoto utakuta wamezaliwa watatu familia moja malezi sawa lakini si wote wanakariri umbea.
Kila mmoja anavutiwa na kitu fulani hivyo concentration ya Kila mmoja inakuwa kwenye kile akipenacho.

Kwa mfano mtoto kama ngara23 akisikia watu wanipiga story za mpira humakinika tofauti na stori zingine wakati mzabzab humakinika na story zihusuzo mbususu na hivyo kuwa na uwezo wa kuzikariri yasemwayo.
 
Hapo unataka kuja ninapopataka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…