secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #161
Itabidi tubadili definition ya kipaji mkuu. Tusiifananishe na instinct.Jamie Vardy $ Shaggy nao hawakuwa na vipaji kwa majukumu yao ya awali kabla ya kuwa Football Striker na Reggae Dance Singer?
Ubinadamu ni kaziThe humanity is work.
View attachment 3333387View attachment 3333388
Hiyo bidii ndiyo kipaji chenyewe sasa, kwanini Wazungu huangalia vitu wapendavyo kuvifanya sana kisha huwapeleka shule kusomea hivyo vitu hadi ukubwani na wakibobea kuvifanya kwa ufanisi huviitaje?
Kwanini wasiwaache tu waendelee kuvifanya wenyewe bila ya kuelekezwa na kuongozwa wakiamini ni vipaji na watakuwa navyo kwa ubora zaidi kuliko wakipelekwa kusomea na kwa muda mrefu tu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
nikuulize swali hilo wazo la kitu kinachoitwa balbu alilitoa wapi? na kwanini kati ya watu wote duniani ye ndo alikuja na wazo hilo?, nikuulize nani alimpa akili edison ya kwamba kuna kitu kinaitwa balbu? najua edison alipata wazo la balbu baada ya rafiki yake kuvumbua gari lakin nikwanini ni edison tu na si mwingine?Kwa mfano mtu aliyetengeneza balbu aua aliyegundua moto alijaribu mara ngapi? Kama alijaribu zaidi ya mara Moja basi hajazaliwa na uwezo huo.
Nitaweka link hapa uone comments za huko Quora.Hahaha 😂, alijaribu mara ngapi kuchonga hadi akachonga hii inayoonekana imekaa vizuri?
Nipe habari.
Kujijua wewe ni Nani ?Jamie Vardy $ Shaggy nao hawakuwa na vipaji kwa majukumu yao ya awali kabla ya kuwa Football Striker na Reggae Dance Singer?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
View attachment 3333387View attachment 3333388
Kufanya ni hatua ya mwisho kabisa ya kudhihirisha Kipaji cha mtu. Kuna process unairuka nayo ni THINKING. Huyo atajikuta anaumba mastructure na mashape ya kufa mtu kwenye akili yake. Haijalishi yupo mjini au bush!Bado siamini kama mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kitu fulani.
Mtu aliyezaliwa akiwa na uwezo kwenye masuala ya architecture akizaliwa bushi hicho kipaji chake ataenda kukifanyia kazi wapi?
Natambua kuwa huko ulaya watoto wanaruhusiwa kujarib vitu mbalimbli ili kujua ufansi wao uko katika kitu gani lakini kuwa na ufansi kwenye vitu hivyo hakumaanishi kuwa waliozaliwa na uwezo huo bali Kuna other factors.
Wengi sana na walikuja tambulika muda ushasogea sana kiumri.Hao wasio na kipaji na kukosa utayari wewe uewajuaje kama wana vipaji? Nipe na mfano.
Mtoto anaambiwa ajaribu vitu mbali mbali ili kuona ni wapi anakuwa na urahisi wa kufanya au kutekeleza(kipaji). Hauwezi kuwa na urahisi wa kufanya kila kitu ? Kile ambacho ni kigumu kwako kufanya ni kirahisi kwa mtu mwingine. Na kile ambacho ni kirahisi kwako ni kigumu kwa mtu mwingine. Ndio maana kuna watu ni rahisi wao kufanya biashara. Na kuna watu wana mitaji lakini kila biashara wakigusa inafeli. Tumeshuhudia Kigangwala amepiga hela lakini kila biashara aliyofanya ilifeli.Bado siamini kama mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kitu fulani.
Mtu aliyezaliwa akiwa na uwezo kwenye masuala ya architecture akizaliwa bushi hicho kipaji chake ataenda kukifanyia kazi wapi?
Natambua kuwa huko ulaya watoto wanaruhusiwa kujarib vitu mbalimbli ili kujua ufansi wao uko katika kitu gani lakini kuwa na ufansi kwenye vitu hivyo hakumaanishi kuwa waliozaliwa na uwezo huo bali Kuna other factors.
Kuhusu utendaji wa hali ya juu mkuu sikupingi, ninachokipinga na dhana hii ya kusema Kuna watu wanazaliwa na uwezo fulani (kipaji) yaani mtu anatoka tumboni akiwa na uwezo fulani tofauti na watu waliptoka tumboni kama yeye.Kipawa -Jinias - Hali ya juu ya utendaji.....Hapa ndipo yanapozaliwa madaraja na ukuu wa Watu.
Kasome post yangu ya pili kumjibu mleta mada Kuna jibu lako pale.
Utaalamu wa kutenda mambo fulani yaani kuliona Jambo ktk vipande vyake vyote kabla hujalifikia kilaza wa field hiyo atabakia kushangazwa tu.
Mazingira yalimsukuma kufanya hivyo, yawezeka angezaliwa huku Afrika hata asingepata wazo hilo. Kwa mfano wazungu wa kutaka bara la ulaya wamefanya gunduzi nyingi kutakana na mazingira yao kutokuwa conducive kama ya huku afrika.nikuulize swali hilo wazo la kitu kinachoitwa balbu alilitoa wapi? na kwanini kati ya watu wote duniani ye ndo alikuja na wazo hilo?, nikuulize nani alimpa akili edison ya kwamba kuna kitu kinaitwa balbu? najua edison alipata wazo la balbu baada ya rafiki yake kuvumbua gari lakin nikwanini ni edison tu na si mwingine?
Fanya hivyo tuone.Nitaweka link hapa uone comments za huko Quora.
Kwa hiyo akifikiria masua la ya construction bila kudhihirisha tayari anakuwa na kipaji cha hicho kitu?Kufanya ni hatua ya mwisho kabisa ya kudhihirisha Kipaji cha mtu. Kuna process unairuka nayo ni THINKING. Huyo atajikuta anaumba mastructure na mashape ya kufa mtu kwenye akili yake. Haijalishi yupo mjini au bush!
Naamini watu wote wanapozaliwa wanakuwa sawa lakini wanapozi kukua utafauti huanza kujitokeza due to several factors.Wengi sana na walikuja tambulika muda ushasogea sana kiumri.
Swali la mwisho. Je, hao wanaofanya mambo kwa urahisi unadhani waliozaliwa na uwezo huo au Kuna other factors behind.Mtoto anaambiwa ajaribu vitu mbali mbali ili kuona ni wapi anakuwa na urahisi wa kufanya au kutekeleza(kipaji). Hauwezi kuwa na urahisi wa kufanya kila kitu ? Kile ambacho ni kigumu kwako kufanya ni kirahisi kwa mtu mwingine. Na kile ambacho ni kirahisi kwako ni kigumu kwa mtu mwingine. Ndio maana kuna watu ni rahisi wao kufanya biashara. Na kuna watu wana mitaji lakini kila biashara wakigusa inafeli. Tumeshuhudia Kigangwala amepiga hela lakini kila biashara aliyofanya ilifeli.
Vyote unavyoviona vimeundwa huku nje vimeanzia ndani(Vipaji).Kwa hiyo akifikiria masua la ya construction bila kudhihirisha tayari anakuwa na kipaji cha hicho kitu?
Hahaha 😂, kwa hakika siwezi kuikubali nadhara hii yenye uwongo wa wazi wazi.Ni mtu mwenye uwivu pekee anayeweza kusema kipaji ni nadharia ya uongo.
Mkuu wewe una wivu.
Ni walizaliwa nayo, Usain Bolt mafanikio yake ni genetics, Michael Phelps Mafanikio yake ni Genetics, Nimetoa mfano wa genious Zawadi Mdoe nikakuambia mama na baba yake walikuwa maprofesa SUA. Na watazania hatufanikiwi kwa sababu hatuthamini vipaji tulivyobarikiwa.Swali la mwisho. Je, hao wanaofanya mambo kwa urahisi unadhani waliozaliwa na uwezo huo au Kuna other factors behind.
Hataree Sana mkuu..waliitwa WARUDIAJI..Na kweli kwenye elimu kuna watu wamepata shida sana aisee, hasa wale wanaorudia mitihani, mtu anarudia pepa zaidi ya mara 4 enzi hizo na bado hatoboi
sawa kwanza nini maana ya kipaji,kipaji ni uwezo au kipawa anachozaliwa nacho mtu .mfano charles page alipataje akili ya kuvumbua ndege wakati ni mwafrika? jibu ni kipawa au zawadi aliyopewa na MUNGU.AMBapo kupitia yeye watu wanaingia shuleni kujifunza kanuni alizo tumia kuunda ndege,na ndomana ndege zinaendelea kuzalishwa na kuboreshwa hata baada ya yeye kufaMazingira yalimsukuma kufanya hivyo, yawezeka angezaliwa huku Afrika hata asingepata wazo hilo. Kwa mfano wazungu wa kutaka bara la ulaya wamefanya gunduzi nyingi kutakana na mazingira yao kutokuwa conducive kama ya huku afrika.
Huwezi kugundua ngalawa au meli halafu unakaa porini bali ukiwa karibu na maji.