Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Ujinga mwingine kama ni wa kurithi au otherwise it's hard to tell, kwani walitekwa na kuuawa nchi nzima? Hao hao waliotekwa na kuuawa inatosha kupigia kelele udhalimu wa lile shenzi la Kihutu pamoja na washirika wake.
Sasa unampigia kelele nani ? Kajinyonge.
 
Wewe siyo Mungu utapata dhambi bure nyumbu wewe. Usiingilie kazi ya Muumba yeye ndio anajua ni wapi alimpeleka mtu wake.
 
Pole,
Una jitihada kubwa za kufunika uovui, kama walivyojitahidi bila mafanikio wale waliokuwa CHAWA wa madikteta/wakandamizaji duniani. Idi Amini, Mobutu,Alliende, Sallazar, Hitler.
Mbona hukufunua mdomo wakati muhusika akiwa hai ? Pole kwa kupigwa cheti fake
 
Kwa sababu mlibanwa kwenye ufisadi ? Haya Magufuri kaondoka tuone sasa kama Nyumbu mtaingia Ikulu.
 
Ombeni hivoivo!! nisiwe Rais mie nitakapo gombea nakuipata hiyo nafasi!!! nitafanya uchunguzi wooote walio husika ni ndani tu na kazi ngumu km watanyongwa sawa ila MwenyeMungu anisamehe wanastahil kifo!! kwa ile terrible death!
Ndoto za alinacha. Nani akupe ikulu weye nyumbu.
 
Magufuli alikuwa muuaji naomba usitukumbushe kabisa.
Jamaa alikuwa shetani mkubwa. Lilikuwa jini toka chato.
 
Kuna ubaya gani wanyama kusfirishwa njee ikiwa wamenunuliwa na taratibu kufuatwa?
 
Wanaomsafisha marehemu wanataka nini??
 
Ulikuwepo wakati anatubu kwa Mungu? Kwa kiburi kile asingetubu aisee.
 
Lazima tukubali Kuna mazuri yalifanyika na mabaya yalifanyika kwenye utawala wa Magufuli.
Hakuna kitu kinaweza fidia uhai wa mtu. Hakuna jengo lolote zuri wala barabara au daraja vinaweza linganishwa na uhai wetu. Kama magufuli alijenga sgr ili apoke maisha ya watu, basi na apotee nayo motoni. Babake Ben analia hata leo. Nadhani hata wamjengee lami hadi chooni uhai wa mwanae utabaki ni namba moja.
Magufuli alikuwa ni zawadi ya uovu tuliyopewa.
 
Kama Magufuli angeendelea kuwapo angewaua viongozi wote wa CHADEMA kama ambavyo Paul Kagame anavyowaua wabaya wake.

Kuondoka kwa Tundu Lissu kupitia Germany embassy, Mbowe kukimbilia Dubai na Godbless Lema kupitia Namanga na kukamatwa Kajiado Kenya ni kwamba Waliepusha maisha yao baada ya Magufuli kutaka kuwapoteza mazima. Na hii ilikuwa immediately baada ya Lissu kupinga ushindi wa Magufuli wa 2020 na kuitisha maandamano. DIKTETA Magufuli alikuwa ni KICHAA, angewaua. Ni bora walikimbia
 
Hii statement umekufuru, jirudi, uwezo wa Allah/Mungu muumba haufanani na wa wako,
Kaka hivi unajua adhabu za motoni ndugu?kias kwamba uazimie kuwa utagairi simply kwa ajili ya mwanasiasa, jifunze kujali nakupatliza mambo yako zaidi umefankiwa.
Hata chai ya moto huwezi kuinywa halafu unapga hesab za kugairi pepo na kuingia motoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…