Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.

Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
 
ISLAMIC REPUBLIC YA IRAN
UTAPELI WA ITIKADI KALI

HIVI VIWILI VIKITOKA DUNIA ITAPUMUA

Wagaza wanateseka kwa sababu ya hamas na wala sio israel.

Wayemen wanakufa sio kwasababu ya us bali ni houthi.

Hii dunia ndio ingekuwa pahala pa amani zaidi kama watu wangekataa kuwa watumwa mafundisho ya jihad na radicalism inayofanywa na itikadi kali
 
West Bank hakuna Hamas ila bado raia hawana Amani wanahamishwa makazi Yao na kufanyiwa fujo nyinginezo na Zionists.
Fujo zote ambazo zinatokea mashrariki ya kati ni kutokana na itikadi kali ya kitapeli na iran ikiwemo
Screenshot_20250318-171509.png
 
Back
Top Bottom