Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

View attachment 3275625

1. Nchi inayojinasibisha ni ya kishoga zaidi duniani
2. Mji wao mkuu unaotambulika kama Paradise ya Mashoga
3. Nchi ambayo kila watu watatu basi mmoja anajihusisha na mapenzi ya Mtu mmoja.
4. Nchi ambayo ukibaka mtoto unapokelewa kwa mikono miwili,

Unataka Uniambie Mungu anaisaidia kuua watoto?

Hao Wanaouliwa wapalestina ndio waisrael wenyewe wa zamani, na hao wanaua ni Wazungu toka Poland na nchi nyengine za Ulaya, muombe tu Mungu akusaidie akutoe Akili Kisoda.
20250319_082033.jpg

Hii ndio asili yenu rasmi.

Wauaji
Wafanya vita
Watafuta damu.


Zanzibar na mombasa ndio ngome ya ushoga tanzania na ndipo kuna waislam wengi
 
Hayo makundi yametokea kama Retaliation, ama hujui Historia za hayo maeneo? Al Qaeda ni wa Mwanzo kushinda makundi yote hayo. Mtu yoyote anaepigana na Al Qaeda na Isis anapaswa kuungwa mkono na mtu yoyote anayeauport hayo makundi ni. Mbwa wa motoni, Asipopewa kibao Duniani basi mwenyezi Mungu anawasubiri kesho Akhera,

Iran kwa kiasi kikubwa ame husika kupambana na Isis, we jiulize kitu kimoja kwanini Wakristo wa Middle East wanawachangia hela makundi Ya Iran kama Hezbollah? Jibu ni Rahisi sababu wanapambana na watesi wao ambao wapo supported na Usa na Israel

Kwa mara nyengine tena naweka statement ya Michael Aoun humu

We chose this long-term political option, because we knew that the interests of the West do not lie with us. Its interests lie with Israel, on one hand, and with the oil, on the other hand. We are not included among its interests at present. The only thing it cares about is resolving the problem of Israel at our expense, through the naturalization of the Palestinians in Lebanon, and pleasing the oil-producing countries, because its material interests lie there. Therefore, we had to choose a policy of coordination with all elements of Lebanese society, and with our neighboring countries, in order to build strong, solid, and mutual relations. Lebanese society in general, and the Christians in particular, are not used to this, and therefore, it has aroused fear and concern. However, our confidence in ourselves, in the choice we made, and in our views have made it possible for us to stand before you, and to ask you to give the efforts we are undertaking a chance. A short while ago, in Doha, we saw the results. All the Christians in the Middle East, all the Christians in the Middle East are fleeing, while the Christians of Lebanon are returning. The forecasts of the entire world. For 25–35 years, we have been reading that the Christians in the Middle East are becoming extinct. Western policies have led the Christians in the Middle East towards extinction. Western policies have not left a single Christian in Palestine and the holy places. Western policies have not left a single Christian in Iraq. They intended to get rid of us by marginalizing us, and by treating us as a superfluous element in society.[118]

Aliekua Raisi Lebanon.
20250319_082033.jpg
 
Palestine apatiwe haki yake kama taifa .
Kuna Taifa linaitwa Palestine na lina Rais anaitwa Mahmoud Abbas, nadhani mgogoro uliopo ni maeneo ya Gaza yanayoongozwa na Hamas.

Kuna wakati huyu Rais pamoja na Misri walitoa ushirikianonkwa Israeli kuwadhibiti Hamas ili kumsaidia kutawala kwa amani.
 
Iweke ramani ya hilo taifa hapa mkuu
Kuna Taifa linaitwa Palestine na lina Rais anaitwa Mahmoud Abbas, nadhani mgogoro uliopo ni maeneo ya Gaza yanayoongozwa na Hamas.

Kuna wakati huyu Rais pamoja na Misri walitoa ushirikianonkwa Israeli kuwadhibiti Hamas ili kumsaidia kutawala kwa amani.
 
View attachment 3275933
Hii ndio asili yenu rasmi.

Wauaji
Wafanya vita
Watafuta damu.


Zanzibar na mombasa ndio ngome ya ushoga tanzania na ndipo kuna waislam wengi
Hujasoma Biblia na Quran, kila Aya ina Explanation yake na kuna Aya Nyingi za Mauaji Biblia kuliko Quran kama Hufahamu.

Nakupa Mifano

5As I listened, he said to the others, “Follow him through the city and kill, without showing pity or compassion. 6 Slaughter the old men, the young men and women, the mothers and children, but do not touch anyone who has the mark. Begin at my sanctuary.” So they began with the old men who were in front of the temple. 7 Then he said to them, “Defile the temple and fill the courts with the slain. Go!” So they went out and began killing throughout the city.

Ezekiel 5-7

Ipo pia numbers

And Moses said unto them, Have ye saved all the women alive?

16 Behold, these caused the children of Israel, through the counsel of Balaam, to commit trespass against the Lord in the matter of Peor, and there was a plague among the congregation of the Lord.

17 Now therefore kill every male among the little ones, and kill every woman that hath known man by lying with him.

18 But all the women children, that have not known a man by lying with him, keep alive for yourselves.


Deuteronomy pia ina Aya chache

If your very own brother, or your son or daughter, or the wife you love, or your closest friend secretly entices you, saying, “Let us go and worship other gods” (gods that neither you nor your ancestors have known, 7 gods of the peoples around you, whether near or far, from one end of the land to the other), 8 do not yield to them or listen to them. Show them no pity. Do not spare them or shield them. 9 You must certainly put them to death. Your hand must be the first in putting them to death, and then the hands of all the people. 10 Stone them to death, because they tried to turn you away from the Lord your God, who brought you out of Egypt, out of the land of slavery. 11 Then all Israel will hear and be afraid, and no one among you will do such an evil thing again.

So badala ya kuweka screenshots za uongo na Kweli Soma kwanza Biblia yako, Ukitoa Aya za Vita na uvunjani wa Mikataba Quran ipo clear kwenye Vita hugusi Mwanamke wala mtoto, hata miti huruhusiwi kukata, ila kwenu Wanawake watoto mmeruhusiwa kuua, na tunaona Mkipractice hili Gaza, na hata Kabla ya Gaza vita kama Vya crusade na vinginevyo mnachojua ni kubaka na kuua vitoto, wanawake na wazee.
 
Back
Top Bottom