Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

Fujo zote ambazo zinatokea mashrariki ya kati ni kutokana na itikadi kali ya kitapeli na iran ikiwemo
View attachment 3275389
Extremists wapo kila pande na kila dini hata kwa Wagalatia Wenye malengo wa itikadi kali yalikuwepo makundi hatari mno na wengine bado wapo.

Hakuna Muislamu anayejielewa ambaye anasapoti extremists hadi kwenye mafundisho sahihi ya Uislamu yanawakataa na kuwalaani vikali.

Saudia Arabia , UAE mfano halisi tu wao wanapingana vikali na makundi na watu wenye misimamo mikali ya kidini , na baadhi ya makundi yapo kimaslahi zaidi na yanawafadhili kutoka western allies kwa maslahi Yao binafsi.
 
Kwa ivo Palestina ikiwa Taifa ndipo Mashariki ya kati kutatulia. Kwa nini unadhani hivyo?
Palestine imekua na madai ya mda mrefu kuhusu haki yake ya kupata ardhi na kutambulika kama taifa, jambo ambalo linaungwa mkono na Mataifa mengi ya kiarabu pale mashariki ya kati.

Hivyo akipatiwa haki yake kama taifa huru itapunguza migogoro inayoibuka mara kwa mara ya kuidai haki hiyo kwa visasi na fujo .

Na kutakua na utulivu wa mataifa mengine ya kiarabu yanayoingua mkono Palestine ili kupata haki yake.

Hivyo basi hali hii inaweza kuwa suluhu ya kudumu pale mashariki ya kati kama pande zote mbili , Israel na Palestine zikifanya maridhiano ya haki kwa pale zote .
 
Extremists wapo kila pande na kila dini hata kwa Wagalatia Wenye malengo wa itikadi kali yalikuwepo makundi hatari mno na wengine bado wapo.

Hakuna Muislamu anayejielewa ambaye anasapoti extremists hadi kwenye mafundisho sahihi ya Uislamu yanawakataa na kuwalaani vikali.

Saudia Arabia , UAE mfano halisi tu wao wanapingana vikali na makundi na watu wenye misimamo mikali ya kidini , na baadhi ya makundi yapo kimaslahi zaidi na yanawafadhili kutoka western allies kwa maslahi Yao binafsi.
Kilicho bora kwa jihadist ni kuendelea kumponnda kichwa ili asiishikirie dunia.

Ataichukua israel kesho ataitaka marekani huku wakisema Mungu ndio aliowatuma wafanye hivyo.

Ebu angalia utapeli wa mwenzenu, anasabibisha vijana na watoto wanakufa
Screenshot_20250318-175208.png
 
Kina nani hao wanaojua nini kifanyike ambao hawataki Mashariki ya kati patulie?
Kwahio unataka umkate mkono jambazi alafu kesho arudi na tena kwa namna nyingine akuue.

Mbona haulizi historia ya violence watu hawa waliofanya juu ya wakristo na wayahudi walio mashariki ya kati au nazungumza na ambae ni chali eti
 
Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.

Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Hao wazungu akina netanyahu na wenzie,warudi ulaya,waachie nchi ya watu,kwanza wote Wana uraia zaidi ya nchi moja
 
Kwahio unataka umkate mkono jambazi alafu kesho arudi na tena kwa namna nyingine akuue.

Mbona haulizi historia ya violence watu hawa waliofanya juu ya wakristo na wayahudi walio mashariki ya kati au nazungumza na ambae ni chali eti
Kama nimekuelewa ni kuwa wakristo na wayahudi walishawahi kufanyiwa ukatili.

Lakini Bado kujua historia pekee hakusaidii kutatua mgogoro uliopo. Nadhani kama historia watu wengi tu wanajua historia ya mashariki ya Kati vizuri tu.

Jee histori ya yaliyowahi kutokea inaweza kutusaidia kutatua huo mgogoro usioisha wa Mashariki ya kati?
 
Wavamizi warudi walikotoka
 
Tatizo ni mdhamini wa HAMAS, ukweli ni kwamba hamas wamekua zombified, hawajali hali za watu wa gaza bali wanamtii mkuu wao anayewalisha, anayewapa silaha na anayewalipa , mwenye chuki kubwa , anayesimamia kauli ya "from river to the sea.." kauli ambaye nyuma yake ina maanisha "death to all jews". maana imedhibitika mara nyingi kuwa israel yuko tayari kuishi kwa amani na watu wa palestina, ila ni hamas wana brain wash wapalestina na kuwaambia hawatakiwi kuishi pamoja na wa israel. sasa israel ama supply umeme, maji kwa wapalestina, wapalestina wengi walikua wanafanya kaz israel na jion wanarud kulala kwao gaza... mafa zoote uchokoz unaanzishwa na hamas.
kwahyo kukata mzizi ni kumjua anayewatuma hamas, ukimmaliza na vita zimeisha.
mbona misri anaishi fresh tu na israel.
 
Kama nimekuelewa ni kuwa wakristo na wayahudi walishawahi kufanyiwa ukatili.

Lakini Bado kujua historia pekee hakusaidii kutatua mgogoro uliopo. Nadhani kama historia watu wengi tu wanajua historia ya mashariki ya Kati vizuri tu.

Jee histori ya yaliyowahi kutokea inaweza kutusaidia kutatua huo mgogoro usioisha wa Mashariki ya kati?
Mgogoro ni simple kuutatua ili ifanyike ifuatavyo.

Islamic regime ya iran iondolewe
Iraq iwe chini ya control ya UN hadi pale isis watoke
Hezbollah na hamas waondoewe.
 
Kabla ya oct 7

Israel ilikuwepo enzi na enzi
Mataifa ya kijihad yalikuja na kuiondoa na hata pale walipooenda kutafuta hifadhi bado jihadi waliendelea kuwachinja.

Kwa hio sishangai israel kutoa kipondo cha kisawa swa
Kabla ya hiyo Oct 7 ?
 
Una ID ngapi ?
 
Mashariki ya kati tatizo kubwa ni kurani yani imani ya kiislam,ili tatizo liishe uislamu ufutwe au upunguzwe makali.
 
Back
Top Bottom