Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

Fujo zote ambazo zinatokea mashrariki ya kati ni kutokana na itikadi kali ya kitapeli na iran ikiwemo
View attachment 3275389
Hii Ramani ya Levant ikionesha Religious group
download.jpeg

Hakuna popote pale duniani sehemu ambayo ina mkusanyiko wa dini Nyingi kama hilo eneo, Palestina, Jordan, Lebanon na Syria.

Ila dini zote Hizo zipo hatihati ya kupotea si sababu ya Waislam bali wa Israel, jitekenye ucheke mwenyewe ila unajua fika Isis ni zao la Israel, wanatibiwa Israel, wanapewa silaha na West etc.

Kwa Maelfu ya Miaka Wakati wa Roma wanaua hizo dini na madhehebu yote ya siyo ya kikatoliki waisilamu ndio waliowatetea, kuwapiga waroma na kuzipa hizo dini Uhuru.

Muulize Mkristo yoyote wa Middle East anayejielewa anajua Adui yake Ni nani.
 
Israel inachofanya ni kama wewe uvamiwe nyumbani , utafanya nini kama baba,?????
Israel sio kwake hapo na kila siku anajitanua, Anaua watu hata kabla ya Oct 07, anafund makundi kama Al Qaeda na Isis, wapo busy Ku overthrow tawala na kuziacha nchi kwenye machafuko. Machafuko yote Egpty, Syria, Iraq, Yemen wame husika kwa kiasi kikubwa.
 
Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.

Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Dini zifutwe. Waislam na wakristo hushangilia football kwa pamoja ila hawawezi kumwomba Mungu kwa pamoja.
Dini zinaubaguzi wa kuuana kabisa.
 
Israel sio kwake hapo na kila siku anajitanua, Anaua watu hata kabla ya Oct 07, anafund makundi kama Al Qaeda na Isis, wapo busy Ku overthrow tawala na kuziacha nchi kwenye machafuko. Machafuko yote Egpty, Syria, Iraq, Yemen wame husika kwa kiasi kikubwa.
Islamic republic ya iran
Islamic houthi ya yemen
Wahuni wengine wapya wa syria

Hawa nii baadhi ya binadamu ambao nafsi zao zimetapelika kutokana na mafunzo ya ulaghai ia kijihad na radicalism.

Kinachofata sasa wanaingia ktk mataifa yaliyo na amani zisizopenda ujinga wao na kuwalazimisha wafate mienendo yao na kuwafanyia fujo.

NYIE NI UTAPELI MKUU KUWAHI KUTOKEA DUNIA HII
 
Dini zifutwe. Waislam na wakristo hushangilia football kwa pamoja ila hawawezi kumwomba Mungu kwa pamoja.
Dini zinaubaguzi wa kuuana kabisa.
Na zikifutwa inapaswa itikadi kali ya jihadi iwekewe death sentence au kuhasiwa hadharani
 
Huwa namshukuru sana aliyenishauri kukisoma kitabu cha nabii henoki, hii imenisaidia kujua machafuko yote yanayotokea duniani hasa vita, huwa sio kwa bahati mbaya bali hupangwa na watu wachache wenye nguvu kubwa duniani, na hii ni kweli kwa sababu vita vya kwanza vya dunia havikuisha tarehe 11 mwezi wa 11 saa 11 kwa bahati mbaya.
Hapo mashariki ya kati hapawezi kutulia, sababu kuna madudu mengi ambayo siwezi kuyaelezea yote.
 
Hii Ramani ya Levant ikionesha Religious group
View attachment 3275428
Hakuna popote pale duniani sehemu ambayo ina mkusanyiko wa dini Nyingi kama hilo eneo, Palestina, Jordan, Lebanon na Syria.

Ila dini zote Hizo zipo hatihati ya kupotea si sababu ya Waislam bali wa Israel, jitekenye ucheke mwenyewe ila unajua fika Isis ni zao la Israel, wanatibiwa Israel, wanapewa silaha na West etc.

Kwa Maelfu ya Miaka Wakati wa Roma wanaua hizo dini na madhehebu yote ya siyo ya kikatoliki waisilamu ndio waliowatetea, kuwapiga waroma na kuzipa hizo dini Uhuru.

Muulize Mkristo yoyote wa Middle East anayejielewa anajua Adui yake Ni nani.
Hakuna mtu timamu mwenye akili ilio na logic aweze kukubali kuendanan na utapeli huu
Screenshot_20250318-183116.png


Nikutaarifu kuwa bado wannaendelea kula vichwa
Screenshot_20250318-183056.png
 
Huwa namshukuru sana aliyenishauri kukisoma kitabu cha nabii henoki, hii imenisaidia kujua machafuko yote yanayotokea duniani hasa vita, huwa sio kwa bahati mbaya bali hupangwa na watu wachache wenye nguvu kubwa duniani, na hii ni kweli kwa sababu vita vya kwanza vya dunia havikuisha tarehe 11 mwezi wa 11 saa 11 kwa bahati mbaya.
Hapo mashariki ya kati hapawezi kutulia, sababu kuna madudu mengi ambayo siwezi kuyaelezea yote.
Hakika na madudu haya mzizi ni itikadi ya msimamo mkali
 
Islamic republic ya iran
Islamic houthi ya yemen
Wahuni wengine wapya wa syria

Hawa nii baadhi ya binadamu ambao nafsi zao zimetapelika kutokana na mafunzo ya ulaghai ia kijihad na radicalism.

Kinachofata sasa wanaingia ktk mataifa yaliyo na amani zisizopenda ujinga wao na kuwalazimisha wafate mienendo yao na kuwafanyia fujo.

NYIE NI UTAPELI MKUU KUWAHI KUTOKEA DUNIA HII
Hayo makundi yametokea kama Retaliation, ama hujui Historia za hayo maeneo? Al Qaeda ni wa Mwanzo kushinda makundi yote hayo. Mtu yoyote anaepigana na Al Qaeda na Isis anapaswa kuungwa mkono na mtu yoyote anayeauport hayo makundi ni. Mbwa wa motoni, Asipopewa kibao Duniani basi mwenyezi Mungu anawasubiri kesho Akhera,

Iran kwa kiasi kikubwa ame husika kupambana na Isis, we jiulize kitu kimoja kwanini Wakristo wa Middle East wanawachangia hela makundi Ya Iran kama Hezbollah? Jibu ni Rahisi sababu wanapambana na watesi wao ambao wapo supported na Usa na Israel

Kwa mara nyengine tena naweka statement ya Michael Aoun humu

We chose this long-term political option, because we knew that the interests of the West do not lie with us. Its interests lie with Israel, on one hand, and with the oil, on the other hand. We are not included among its interests at present. The only thing it cares about is resolving the problem of Israel at our expense, through the naturalization of the Palestinians in Lebanon, and pleasing the oil-producing countries, because its material interests lie there. Therefore, we had to choose a policy of coordination with all elements of Lebanese society, and with our neighboring countries, in order to build strong, solid, and mutual relations. Lebanese society in general, and the Christians in particular, are not used to this, and therefore, it has aroused fear and concern. However, our confidence in ourselves, in the choice we made, and in our views have made it possible for us to stand before you, and to ask you to give the efforts we are undertaking a chance. A short while ago, in Doha, we saw the results. All the Christians in the Middle East, all the Christians in the Middle East are fleeing, while the Christians of Lebanon are returning. The forecasts of the entire world. For 25–35 years, we have been reading that the Christians in the Middle East are becoming extinct. Western policies have led the Christians in the Middle East towards extinction. Western policies have not left a single Christian in Palestine and the holy places. Western policies have not left a single Christian in Iraq. They intended to get rid of us by marginalizing us, and by treating us as a superfluous element in society.[118]

Aliekua Raisi Lebanon.
 
Tatizo ni dini, wahubiriwe waokoke la sivyo shetani ataendelea kuvuna sana ukanda huo.
 
Back
Top Bottom