Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Mimi binafsi, sijawahi kusikia Israel au IDF wakianzisha vurugu.Kwenye vurumai za Mashariki ya Kati Israel haina mchango kwa kuchochea machafuko Mashariki ya kati?
Mimi binafsi, sijawahi kusikia Israel au IDF wakianzisha vurugu.Kwenye vurumai za Mashariki ya Kati Israel haina mchango kwa kuchochea machafuko Mashariki ya kati?
Hapa ndo mwisho wako wa kufikiriaISLAMIC REPUBLIC YA IRAN
UTAPELI WA ITIKADI KALI
HIVI VIWILI VIKITOKA DUNIA ITAPUMUA
Wagaza wanateseka kwa sababu ya hamas na wala sio israel.
Wayemen wanakufa sio kwasababu ya us bali ni houthi.
Hii dunia ndio ingekuwa pahala pa amani zaidi kama watu wangekataa kuwa watumwa mafundisho ya jihad na radicalism inayofanywa na itikadi kali
Hata kuzuia mauaji ya kidini haiwezekani kabisa.Hii inafikirisha sana. Ila kufuta dini haiwezekani kabisa.
Sasa kama dini zimefutwa hiyo itikadi ya jihadi itamhusu nani? Kama death sentence na kuhasiwa vitaendelea nini kitakuwa kimebadilika?Na zikifutwa inapaswa itikadi kali ya jihadi iwekewe death sentence au kuhasiwa hadharani
Inavoonekana kama binadamu hatujui nini cha kufanya kumaliza hizo ghasia za Mashariki ya Kati.Sasa kama dini zimefutwa hiyo itikadi ya jihadi itamhusu nani? Kama death sentence na kuhasiwa vitaendelea nini kitakuwa kimebadilika?
Ili Mashariki ya Kati kutulie inabidi waislamu waache Doto zao za alinacha za Quran kuwa wamepewa jukumu la kuendesha JIHADI kuiangamiza Israel na Wayahudi na baadae wakiristo ili kusimamisha Caliphate ya kaallah. Kuna waislamu huko Saudi Arabia na UAE wamezinduka: madani ni means wa mfalme wa Saudi Arabia na wengine mfano ni hawa hapaNimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
West Bank hakuna Hamas ila bado raia hawana Amani wanahamishwa makazi Yao na kufanyiwa fujo nyinginezo na Zionists.
We jamaa unazingua, avatar yako mbona jibu tosha.Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Hamas walichokifanya nikitendo cha kinyama kiasi sioni kama kuna uzao wa walio tenda yale mauwaji kitasalia watauwa mpaka na vilembo tangu kuwepo kwa Israel nitaifa la revange tena sio yamtu mmoja nikizazi chote na hiyo ni hukumu ya Mungu tangu kuwepo Israel miaka hiyo walikuwa wanaweza enda futa mji mzima hawaachi mtoto wala mjukuu.. donu remember story of Sauli yes Sauli aliambiwa amalize kijiji akajichagulia mabinti wa zuri weee alipo rudi akakuta kiti kimesha ondolewa...Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Hamas walichokifanya nikitendo cha kinyama kiasi sioni kama kuna uzao wa walio tenda yale mauwaji kitasalia watauwa mpaka na vilembo tangu kuwepo kwa Israel nitaifa la revange tena sio yamtu mmoja nikizazi chote na hiyo ni hukumu ya Mungu tangu kuwepo Israel miaka hiyo walikuwa wanaweza enda futa mji mzima hawaachi mtoto wala mjukuu.. donu remember story of Sauli yes Sauli aliambiwa amalize kijiji akajichagulia mabinti wa zuri weee alipo rudi akakuta kiti kimesha ondolewa...
Tendo la Hamas kuwaua wa israel in a cold blood rafiki hii ngoma haitoisha leo na hakuna kizazi cha hamasi kitabaki...
Kwani kabla oct israel walikuwa wanachekecha maghorofa? Hali imekuwa mbaya sana after oct7Kabla ya hiyo Oct 7 ?
Tupo tu kwenye Trela. Filamu yenyewe bado! Huko mbeleni kitawaka kisawasawa. Mgogoro wa Mashariki ya kati ni wa kiroho. Ni kati ya wafuasi wa Mungu wa kweli na wafuasi wa mungu feki. Mwisho wa siku Mungu wa kweli atashinda.Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Ngumu sana tofauti na hapo tutaendelea kushuhudia visasi vikilipwaNgumu kumeza hiyo mkuu.
Waambie ukweli ile ahadi ya bikira 72 peponi ni ulongo..! Maana wao kila ovu walifanyalo hutamka allahu Akbar Kwa kutegemea ile ahadi ya muddy kufanya ngono na dada zao peponiNimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Halafu kuna mijitu humu kutoka mvomelo nayo sababu ya dini eti yana bifu na Marekani. Hahaha only in TanzaniaISLAMIC REPUBLIC YA IRAN
UTAPELI WA ITIKADI KALI
HIVI VIWILI VIKITOKA DUNIA ITAPUMUA
Wagaza wanateseka kwa sababu ya hamas na wala sio israel.
Wayemen wanakufa sio kwasababu ya us bali ni houthi.
Hii dunia ndio ingekuwa pahala pa amani zaidi kama watu wangekataa kuwa watumwa mafundisho ya jihad na radicalism inayofanywa na itikadi kali
Unless tuko shuleni tuandike essay but ukweli ni palestina apewe haki yakeKwa ivo Palestina ikiwa Taifa ndipo Mashariki ya kati kutatulia. Kwa nini unadhani hivyo?
Kifanyike kile kilifanya Africa kusini kutulia yaani justine na equity for all au kwa namna nyingine two state solution na umoja wa mataifa unajua hilo ila ni ibabe tu wa wati wachache kutekeleza hilo.Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Upofu wa kujua historia ya chanzo cha mgogoro. Uvivu wa kusoma na kufuatilia kabla ya Hamas kulikuwa na hali gani. Uvivu wa kusoma vitabu na kuzima mfumo mzima wa akili.Hapo ni kuwafuta hamas ndio suluhisho
Wote wanajua. Lakini ni faida kwa wakubwa wa dunia kwa eneo hilo kuendelea kuwa na machafuko.Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?