Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa ivo Palestina ikiwa Taifa ndipo Mashariki ya kati kutatulia. Kwa nini unadhani hivyo?Palestine apatiwe haki yake kama taifa .
Tusaidiie na wengine tujue!Me najua 😎
Wanamalizwaje wote Sasa?Hao dawa yao ni kuwamaliza wote vinginevyo patatulia kwa muda na mambo yatarudia yale yale.
Kwenye vurumai za Mashariki ya Kati Israel haina mchango kwa kuchochea machafuko Mashariki ya kati?Hapo ni kuwafuta hamas ndio suluhisho
West Bank hakuna Hamas ila bado raia hawana Amani wanahamishwa makazi Yao na kufanyiwa fujo nyinginezo na Zionists.Hapo ni kuwafuta hamas ndio suluhisho
Ndio jambo gum sana kuwezekana.Wanamalizwaje wote Sasa?
kukata supply of any weapon & any donation kwenda huko.Tusaidiie na wengine tujue!
Rwanda Genocide ilikuwa itikadi Kali ?IRAN
UTAPELI WA ITIKADI KALI
HIVI VIWILI VIKITOKA DUNIA ITAPUMUA
Fujo zote ambazo zinatokea mashrariki ya kati ni kutokana na itikadi kali ya kitapeli na iran ikiwemoWest Bank hakuna Hamas ila bado raia hawana Amani wanahamishwa makazi Yao na kufanyiwa fujo nyinginezo na Zionists.
Kwa ivo nani azuiwe kuwa na silaha na silaha zilizopo eneo Hilo zinaondolewaje?kukata supply of any weapon & any donation kwenda huko.
#NWNW (NoWeaponNoWar)
Ngumu kumeza hiyo mkuu.Hao dawa yao ni kuwamaliza wote vinginevyo patatulia kwa muda na mambo yatarudia yale yale.
Ina mchango ,lakini mchango mkubwa waliuleta wao ile oct7.Kwenye vurumai za Mashariki ya Kati Israel haina mchango kwa kuchochea machafuko Mashariki ya kati?