Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Usipotoshe, wapo wengi tuuu
 
Kaka huwezi kwenda against nature. Huwezi kuamua wewe usiende haja kubwa wala ndogo, usijisikie baridi au joto, usijisikie joto, usitamani, usidise na nk labda wewe una shida ya nguvu za kiume. Nature haipingiki labda kama unamdanganya mkeo. Je mkeo ulimkuta na bikra.??
 
Najadili hoja mkuu.

Sijadili misimamo.
 
Wanaume wengi Wana kasoro nyingi (wivu, harufu mbaya, gubu, vibamia, zakari kubwa mno, ushamba, uhanidhi, ugumba, ulemavu, sura mbaya nk) wasizozipenda wanawake pia. Wanawake wanawavumilia TU kwaajili ya ndoa, pesa zako, heshima lakini sio kwamba wanalidhishwa kuwa nawewe.

Variety is the spice of life
 
Sikuungi mkono usitake kugeneralize mambo kama wewe umeshindwa wenzio wanaweza sana(usiwasemeee )na hizo ni kauli za short minded people na pia usione shida sana kuwa na wanawake wengi we fanya kimpango wako usiwahusishe wengine kwenye upuuzi wako na kutaka kuhalalisha upuuzi wako
 
Hayo majogoo na mabeberu hayajui kulima, kubeba zege n.k. Sasa wewe endekeza kwichikwichi wewe unakonda wenyewe wananenepa.
Usifanye kitu ukamkufuru Mungu kwa kuukosoa uumbaji wake. Hebu jiulize ni kwanini mwanaume ameumbwa na mbege nyiiiingi za kiume zinazozalishwa Hadi uzeeni. Jiulize kwanini mwanaume hawi na mayai mengi, akifika miaka 45 yanakwisha. Mungu sio mjinga wa kiasi hivyo. Mke mmoja haziwezi mbegu zote alizonazo mumewe asilani.
 
Kiukweli bora tuchangamshane akilo tu, ukisema ugandane na uliyenae unaweza ukafa na magonjwa ya moyo..
Maisha yatuchanganye hadi mapenzi? Haiwezekani[emoji847]
 
Funny fact. Waislamu wengi sana huwa wanatetea dini imeruhusu mke zaidi ya mmoja. Ni kweli..lakini sasa mbona huwa hawatimizi hili agizo.

Inaruhusiwa wake hadi wanne ikiwa wewe mwanaume una nguvu sana na spidi ambayo yule mke mmoja haiwezi. Kwa lugha nyingine mke anakuwa hawezi kutimiza haja zako maana mwanaume unakuwa rijali extra extra. Hapo tu ndo dini inaruhusu kuongeza mke.

Ila sasa wanaume wa leo. Kimoko chali. Mavi ya bata kabisa. Af eti dini inaruhusu kwa nguvu gani babu. Tena wewe mshindia makange, kvant, na biriani friday my foot kabisa. Mazoezi huyajui. Zaidi unaujua mkongo hahahha...embu nipishe bwana.

Mnahangaisha hizo mb** zenu tu jamani. Nguvu hamna. Mkija kwa wake zenu kimoko chali mwanamke anakesha kutafuta madildo tu ajiridhishe. Afu uko nje mnategemea mkongo, sijui puturuu na kvant jamani jamani bado na viagra hahahah.

Af mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja jamani....wenzenu akina suleiman walikuwa fire bi moto nyinyi sasa....poooh!!! Haya hangaikeni mkichoka na viuno vimevurugika mnatembea tafkiri gani iliyokatika centre bolt!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#povuruksahuundoukwelihamnalolote#mafikunuka
 
Kwa hiyo Ile amri aliyotoa Mungu "usizini" alikuwa anamaanisha nini?
 
Nyie wasasa hivi hamuwezi hata mbili tu kazi
 
Ukishaolewa na ukioa nimbaya ukichepuka kwa maana ni unatakiwa kuwa na mtu mmoja tu.
 
Dah bora wewe umesema ukweli ,n kweli 120%. Nmekuelewa mm mwenyewe hili swala nmekuja kuliamini umri wangu umeishaenda sa
 
Uko sahihi kavulata kama ni kuingiza tu na kuacha mbegu kama jogoo afanyavyo nakubaliana na wewe kwamba kila siku mwanaume anaweza kutia mimba akikutana na wanawake walioko siku ya ovulation tu, na kwa hiyo kwa mwaka anaweza kuwa na watoto 365.
Lakini tusisahau mwanamke anahitaji afikishwe kileleni, na watoto wanahitaji huduma sio kama kuku na mbuzi ambao hawadaiwi kufikishana kileleni wala kutunza watoto.
 
Kwa nini Allah atoe thawabu kwa suala ambalo halina umuhimu?

Kama hilo suala la mathna lingekuwa kawaida tu kama unavyosema hapo basi Allah asingelitoa thawabu.

Kwa Allah kutoa thawabu basi mathna ni jambo la muhimu, na Allah anahimiza hilo lifanyike.

Nikupe mfano, kwenye saikolojia kuna nadharia fulani inaitwa conditioning kiswahili uzoeshi.

Katika nadharia hii kuna kitu kinaitwa reward and punishment. Hapa tunaangalia adhabu na zawadi.

Kwa mujibu wa nadharia hii, adhabu hutolewa kuzuia tabia fulani mbaya isijirudie.

Upande wa pili zawadi hutolewa ili kuhamasisha tabia nzuri kuendelea kuwa nzuri.

Sasa ndugu safuher Allah anavyotoa thawabu (zawadi kwa yale mema) kwenye suala na mathna maana yake lina umuhimu na anahimiza hata kama ni option.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…