Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Alete watoto ili iwe nini labda?????Shida ni kwamba wanaume wa siku hizi wanawaogopa sana wake zao kiasi Cha kushindwa kuwaleta nyumbani watoto wao wa nje ya ndoa (kama wapo). Watoto hao wanaozea hukohuko walikozaliwa kwa kufichwa,kukataliwa au mimba zao kutolewa. Mwanaume anatetemeka simu yake ikiguswa na mkewe, mwanaume anahangaika kama demu lake likimpigia simu wakati Yuko na mkewe.
Wanawake huwa wanatingisha kiberiti waone ulivyo bwege na unavyomuogopa. Mwanamke hata uwe na wanawake 4 bado atakupenda sana kama kitandani na mfukoni uko vizuri, huna gubu, unampenda na kumjali.
SeeIsemee nafsi yako tu @ Mleta mada lakini usiwasemee wengine.
Wenzio wanaweza!
Ni notion tu yakutana kuwaaminisha watu kuwa haiwezekani ili wajichanganye waukwae.
Haiwezekani kuweza kueleweka kwenye jamii kwa kutaka kuhalalisha uzinzi na uasherati.
Umezaa na mwanamke mwingine kwanini mtoto wako huyo umfiche asijulikane nyumbani? Kwanini watoto wako wasifahamiane? Kwanini mkeo asifahamu kuwa una mtoto mwingine mahali, kwanini ndugu zako wasiwafahamu watoto wako wote. Shida ni nini? Wanaume wasiowalidhisha wake zao kitandani na kiuchumi ndio wenye woga wa aina hii. Ukiwa mwanaume lijali hata wanawake 10 wanakubali kuishi pamoja. Hii ni nature kwa viumbe wengi; kama beberu halali anawashughukikia majike wote wenye uhitaji 'heat' na wote kupata ujauzito kwa wakati hayo majike yatatulia yote bandani kwa amani. Lakini kama kama beberu halipandi vizuri utaona majike yanaanza kupandana yenyewe kwa yenyewe bandani na mimba hakuna.Alete watoto ili iwe nini labda?????
Umeoa???See
Umezaa na mwanamke mwingine kwanini mtoto wako huyo umfiche asijulikane nyumbani? Kwanini watoto wako wasifahamiane? Kwanini mkeo asifahamu kuwa una mtoto mwingine mahali, kwanini ndugu zako wasiwafahamu watoto wako wote. Shida ni nini? Wanaume wasiowalidhisha wake zao kitandani na kiuchumi ndio wenye woga wa aina hii. Ukiwa mwanaume lijali hata wanawake 10 wanakubali kuishi pamoja. Hii ni nature kwa viumbe wengi; kama beberu halali anawashughukikia majike wote wenye uhitaji 'heat' na wote kupata ujauzito kwa wakati hayo majike yatatulia yote bandani kwa amani. Lakini kama mwanaume nguvu zako ni za kutafutatafuta ukijifanya uko bize unatafuta pesa au kizazi huna wewe lazima umuabudu mkeo na mkeo huyo lazima atabanyuliwa na wanaume wengine TU, hasa wanaume wake wa awali kabla yako, au rafiki zako wa karibu sana, au waumini wenzie, au dereva wenu au jirani yenu au mfanyakazi mwenzake au mfanyakazi wenu. Hakuna mwanamke anayevumilia mapenzi hafifu ya mwanaume kitandani, hasa kama alishaonjaga mapenzi sahihi kwako au kwa mume mwingine.
Kwako ndoa ni kutiana tu????Ndiyo
Wewe ndiyo unabadilisha maana ya ndoa, ndoa ni kwaajili ya kuzaaana TU, nothing more nothing less. Ndiyo maana wahenga walisema, wanawake watazaa kwa uchungu na wanaume watakula kwa jasho, na kitanda hakizai haramu. Na waliifanyia majaribio mengi sana misemo hiyo wakaona ni kweli na Iko sahihi. Kama wewe Mke wako anazaa kwa uchungu na Kula kwa jasho pia ujue kuwa huyo mwanamke sio wa peke yako. Bosi wake anakula, wateja wake wanakula, jirani anakula, mwalimu wake anakula, wanafunzi wenzake wanakula, DK wake anakula,Kwako ndoa ni kutiana tu????
Jehovaaaaahhhh!!!! 🙆🙆🙆🙆🙆Ndiyo maana wahenga walisema, wanawake watazaa kwa uchungu na wanaume watakula kwa jasho,
Bahati mbaya wanaume hawana tabia ya kutaka kufahamu mapito ya wake zao ya utotoni, shuleni, vyuoni, kazini, kanisani, na mtaAni, hawataki kujua Nani aliwatoa bikra wake zao na walikuwa watu wa aina gani kimapenzi na kiuchumi. Hata wanawake pia hawashughuliki sana na wanawake waliokufundisha kukwichi kabla Yao ni Nani na walikuwaje kimapenzi, kitabia na kisura.Jehovaaaaahhhh!!!! 🙆🙆🙆🙆🙆
We ni msemaji wao? Mbona mi nijuavyo ni tofauti na hivoAke
Bahati mbaya wanaume hawana tabia ya kutaka kufahamu mapito ya wake zao ya utotoni, shuleni, vyuoni, kazini, kanisani, na mtaAni, hawataki kujua Nani aliwatoa bikra wake zao na walikuwa watu wa aina gani kimapenzi na kiuchumi. Hata wanawake pia hawashughuliki sana na wanawake waliokufundisha kukwichi kabla Yao ni Nani na walikuwaje kimapenzi, kitabia na kisura.
Bado sijaoa ndio natafuta mke bro....Wewe unamfahamu mtoa bikra wa mkeo?
Ahsantee! Mleta mada usijidai kama hujaona hii comment hapa.Usitufananishe sisi na wewe, sisi wengine tumeridhika na mke 1. Usitusemeee wewe sio msemaji wetu
Eve unatafuta mke mwee😂Bado sijaoa ndio natafuta mke bro....
Muombe msamaha huyo ni beautiful lady si mkakaWewe unamfahamu mtoa bikra wa mkeo?
Natafuta mke 😂Eve unatafuta mke mwee😂
Sasa hivi unawashuhulikia TU, mwanaume mwenye akili timamu hafungi ndoa ya kanisani, maana mashrti ya Mke na mume mmoja hayatatimia. Kwenye mapenzi hakuna dini, elimu, tajiri Wala kabila. Mke wa tajiri analiwa na Mke wa maskini analiwa, mlokole analiwa na changudoa analiwa, mweupe analiwa na mweusi analiwa, kilema analiwa na mzima analiwa pia, mke wa mbunge analiwa na Mke wa balozi wa nyumba kumi analiwa. Ukimbia mshale n ukisimama mshale.Bado sijaoa ndio natafuta mke bro....
Acha ubishi nimekwambia Evelyn si mkaka fyuu😬Sasa hivi unawashuhulikia TU, mwanaume mwenye akili timamu hafungi ndoa ya kanisani, maana mashrti ya Mke na mume mmoja hayatatimia. Kwenye mapenzi hakuna dini, elimu, tajiri Wala kabila. Mke wa tajiri analiwa na Mke wa maskini analiwa, mlokole analiwa na changudoa analiwa, mweupe analiwa na mweusi analiwa, kilema analiwa na mzima analiwa pia, mke wa mbunge analiwa na Mke wa balozi wa nyumba kumi analiwa. Ukimbia mshale n ukisimama mshale.
😂😂Natafuta mke 😂
Nikipata mwenye chura naoa leo leo