Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

Stupidity argument. Hao walioondoka wote ni kenge...kwenye msafara wa mamba lazima wawepo! Akili za kuambiwa changanya na kamasi zako!
 
Wanatumika kubaya sana
....ndio maana kwa mtu makini akizisikia TUHUMA ZA UGAIDI....hazipuuzi.....kwa makundi niliyotaja hapo juu....hakika HUWEZI KUWAPUUZA....hapohapo vijana wao wanahanikiza "MWAMBIENI MAMA YENU ,TUTAUTUMIA WEMBE ULEULE TULIOMNYOA JPM NA TUMNYOE NA YEYE"....😲😲😲

WEMBE.....
WEMBE.....
WEMBE....

Wembe gani huo ?!!
Tukiuulizia huo WEMBE ,tunajibiwa kuwa CCM hatuna uwezo wa kufikiri(diversion 🀣🀣)
 
Hao ndio aina ya watu uliowazungumzia hapo juu,wameshindwa hata kujitofautisha na hili bandiko[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe piga debe tupu hapo miaka 29 hamna hata mbinu za kuongoza nchi hii, hata office hamnaπŸ˜‚πŸ˜‚

Mnalialia tuu na kujidekeza kama broila watoto

Mkiulizwa oooh police oooh mahakama oooh katiba mpya kha!

Mngekua mnajua mnataka nini mngeshaishika nguvu ya umma zamaaani lakini kwa utopolo mnaofanya hata mueite maandamano yanaishia twita na jf

Uliona wapi wewe wananchi 60m wanaweza kuthibitiwa na police elfu 30? Wananchi washawajua matapeli wala hawana habareeee na nyie. Labda mumwite Tundu, lema na familia zao waje waandamaneπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hicho mnachokiita ukombozi hakipatikani kwa mitusi na post za twita na jf
 
🀣🀣🀣
 

Watatukana hapa weee ikifika 2025 wanakuja na same story za kuibiwa kura

Wewe mtu mwenye akili timamu unakua na tatizo moja miaka30 hupati suluhu!? Kama huwezi tafuta suluhu la tatizo lako kazi imekushinda achana na siasa
 
Stupidity argument. Hao walioondoka wote ni kenge...kwenye msafara wa mamba lazima wawepo! Akili za kuambiwa changanya na kamasi zako!
Nyie ndio mna akili za kushikiwa na Mbowe, mwenzenu anapiga pesa nyie mmekomaa humu hata bundle ya kusurf jf hawanunulii.... 🀣🀣 🀣🀣 🀣🀣
 
Watatukana hapa weee ikifika 2025 wanakuja na same story za kuibiwa kura

Wewe mtu mwenye akili timamu unakua na tatizo moja miaka30 hupati suluhu!? Kama huwezi tafuta suluhu la tatizo lako kazi imekushinda achana na siasa
🀣🀣
Unategemea nini chama kinachoongozwa na mfalme mwenyekiti wa maisha,DJ mjanjamjanja wa mjini ,mfanyabiashara mwekezaji wa kimataifa,mtoto wa ubatizo wa baba wa taifa huku akiwa tofauti kihulka na watoto wote wa wazazi marafiki waliopata kupendwa na baba wa taifa(familia ya Sykes,familia ya Rupia ,familia ya Hamza Mwapachu ,familia ya Dossa Aziz,familia ya Plantan)...WATOTO WA FAMILIA HIZI SI WAPINZANI....Kama wapo basi hawana upinzani wa "tug of war" na siasa hasimu alizonazo MWAMBA HUYO.....🀣
 

Ukimjua muongo wala hakupi taabuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wanafiki wote wamejichuja
 
Kitu cha kwanza kabisa ili uweze kuwa mfuasi kindaki ndaki wa ccm lazima hata kama ulikuwa na utimamu wa akili uuweke pembeni ubaki na fuvu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…