Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

Sawa mkuu....

Nilitaka kushangaa tu uliposema "ndio maana...."

Ok ndugu 👍
 
Sawa mkuu....

Nilitaka kushangaa tu uliposema "ndio maana...."

Ok ndugu 👍
Hapana hapana, tutazungumza yooote,z tutatofautiana kwenye kila kitu ila KAMWE siwezi kugusa vitu vifuatavyo, Moja, IMANI ya MTU, pili, Utu wa MTU, tatu WAZAZI! Hayo kamwe, kamwe siwezi kuyasema, nayaheshimu na ndio my Life principles, kuwa na amani sana sana. Niko very matured Mpwa. JF ni kijiwe tu cha kujengana
 
Awesome .....👍

Be blessed amen!

Karibu CCM mwana....🤣
 


hawa apa wanaweza kujadili anza nao
 
Karibu CCM mwana....🤣
Hahahahaha nasikia CCM mmekimbilia kujichanja wenyewe kimya kimya huko, Nyie watu nyie dah, mkitoka hadharani mnasema Hamtaki chanjo ya mabeberu then mnaenda kuchanjwa kimya kimya.

 
Mfuasi mtiifu wa Tundu 🤣🤣
Hahaha yaani Yule Braza sijui kanipa nini aisee. Sprit yake ya kufanya kazi mult-tasking ilinivutia sana.

Pale unapona mtu anakuwa chawa wa mtu ndio hivi
 
Ndivyo walivyo. Wanacheza kulingana na mdundo. Hawapo kwa maslahi ya taifa letu wengi wao. [emoji1303][emoji1303][emoji1303]
 
kuna kategori mbili tu ccm, Fisadi na mwimba mapambio na maskini sana wa akili na pesa. Wale wa Saizi ya kati wote hatuko huko
Sawa.....

Ila mimi si maskini wa fikra....kwa pesa ni kweli sina kama ulivyo wewe kundi la Kati kiuchumi....its undisputable....

Ninaijua vyema itikadi ya CCM ,malengo yake na historia kuntu ya nchi hii....sijali mafisadi wachache....sijali middle income wachache...wengi wa wanachama wa CCM ni wananchi wa hali ya chini kabisa(wanajivunia utanzania wao na utulivu wa taifa lao kuliko kuwa materialistic)...

Ninaitafuta RIZKI yangu halali hata Kama ndogo kupitia jasho langu na ninaridhika kulisha vitoto vyangu cha halali na wanafurahia mkuu!

#SiempreCCM
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Hahahaa umeona sasa, ona umethibitisha sasa upimbi wako!

Mngekua na akili mngekua mshajenga ofisi kitambo sana mil 400 kwa mwezi unaongelea billions of money kwa mwaka mngekua na ofisi saaahv. ila kwa sababu akili zmewapauka endeleeni ivo ivo mpaka mwenye ile guest awafukuze
 
Hiki chama ni cha wajanja wajanja wapigaji tu, Bahati mbaya kuna watanzania wameingia cha kike na kuwaamini. Inawezekana vipi makamu mwenyekiti anaongoza chama kupitia mitandao ya kijamii na wakati kuna wanachama wapo active hapa tz?
Chama hakina ajenda, wao ni kudakia mada mpya kila siku..
 
Mwanaccm maslahi.
 
Mngekua na akili mngekua mshajenga ofisi kitambo sana mil 400 kwa mwezi unaongelea billions of money kwa mwaka mngekua na ofisi saaahv. ila kwa sababu akili zmewapauka endeleeni ivo ivo mpaka mwenye ile guest awafukuze
Nadhani sasa nilichokiongea kinazidi kuthibitika wazi kabisa, unaongea Hiki Pro CCM anakuja na kilichomo akilini mwake.
CHADEMA wanajenga ofisi zao wenyewe nchi nzima! CCM hawana hata kibanda for your own information, walipora majengo ya kipindi hicho! So you better shut up
 
Jumbe, wacha kujishusha kiasi Hiki please, don't take it too personal, ni mijadala ya afya ya akili tu. Asante kunielewa
 
Mwanaccm maslahi.
Unaweza kusema lolote mkuu....

Hivi huko ukiwaona akina MDUDE NYAGALI na uzalendo/uthubutu alionao basi mnajua UVCCM wote wamejaa "vitambi" tu,wako kimaslahi tu....notion ya hovyo kabisa....mkuu huku kuna GREEN GUARD pia....endelea kujifurahisha nafsi yako....
 
Tunaongea kwa experience. Hali iliyopita ya miaka mitano ilikuwa jehanamu kwa kiumbe mwenye akili na dhamiri. Lakini nyie wanufaika mnaisifia sana na kuipongeza.
 


SUMU HAIONJWI - dikteta wa cdm
 
Mbona mmeshindwa kuwatoa madarakani? 🙄
 
Sijajishusha mkuu wangu....

Nimemjibu huyo swahiba....

Tatizo wengi wetu tunapenda kufeki maisha humu JF.....

Ikitokea mtu anaongea ukweli ,masela wanashangaa nope haitakiwi kuwa hivyo....

Bora mimi msema ukweli kuliko wana wanaosembeza kifeki 🤣🤣

Ukweli wangu utawafundisha vijana wenzangu WASIOTAKA KUHURSTLE shughuli za chini....KWA KUONA AIBU 🤣

Kuna kitabu cha baba wa taifa kinaitwa TUJISAHIHISHE....humo Kuna mengi aliongea.....

Peace compatriot!
Jumbe, wacha kujishusha kiasi Hiki please, don't take it too personal, ni mijadala ya afya ya akili tu. Asante kunielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…