Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

Sio kila cha science ni ukweli, huwezi kusema asili ya binadamu ni jamii ya minyoo ,halafu ukaleta justification ya simu ni vitu tofauti, tafuta ile minyoo igeuka binadamu sasa hivi
Always ninyi watu wa Madrasa ni Anti Science lakini mnaamini Muhammed alipaa mbinguni huku amebebwa na Farasi mwenye uso wa Mwanamke wa Kiajemi.
 
Always ninyi watu wa Madrasa ni Anti Science lakini mnaamini Muhammed alipaa mbinguni huku amebebwa na Farasi mwenye uso wa Mwanamke wa Kiajemi.
Wewe endelea kuamini kuwa binadamu alianzia kwenye minyoo, hata kama ni science hii ni chai
 
Philistines are seafaring people from crete who inhabited Levant before jews arrived from messopotamia
 
Palestina imetajwa?
 
Taifa la Palestina we umelipata wapi hili??
 
my people! Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers
 
Al maktoum Quran 5.21

my people! Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers
 
Wazungu hamenj kwenye eneo la watu ,hapo mlitakiwa kueleza hao Palestines wameshushwa kutoka angani au?
 
my people! Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers
Unapenda ku copy na paste vitu pasi na kufahamu nini vinamaanisha.
Je hiyo holy land ndio Israel!??
Lete sehemu ambayo inaonesha kuwa kuna ardhi ama taifa la Israel.
Hapo inazungumziwa ardhi takatifu sio taifa la Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…