Hakuna watu wa ovyo kama wakosoa imani za wengine hapa JF

Sisi tunataka tu mabikra 72 Hayo mengine hayatuhusu. Na ukileta za kuleta tunakukata kichwa ili tuwawahi hao warembo.peponi.

Waislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.

Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.
 
Waislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.

Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.
Na sisi tunawapokea Kama walivyokuja halafu wanaanza kulialia na kuita modz
 
Ahsante kaka ila mimi natamani kuhamia kwenye dini ya hii picha uliyopandisha nimechoka kukaa bila dini kaka
 
Wote tumezaliwa tumejikuta yupo kwenye Iman Fulani au dini fulan usikebeh ukristo sababu umezaliwa huko na usikebeh uislam et sababu umezaliwa huko dini tumekuta hakuna anayejua zitatufikisha wap Kila mtu abak na Iman yake
Humu mmezid Kwa dhihaka utazan hizo dini mnajua zinapowapeleka
 
Kwa imani za kiafrika ni nuksi hasa kifo au mambo kuharibika.. Kwa wachina ni bahati njema, ni ngekewa
BUNDI ana wiki sasa kakaa kwenye mti wa POPO sio kwamba yupo jana tu hapan wiki anaenda ya pili usiku anakuja kukaa asubuhi hii analia na wapo wawili sio mmoja sema mmoja ni muoga akiona watu anajificha mwingine haogopi watu unaweza kumsogelea kabisa ametulia tu, mimi nimefanya ila usoni BUNDI ni anatisha km mtu tena usiku ukimulika taa unaona km kamtu kanakuangalia kumbe BUNDI
 
Hilo litawezekana tu kwa yale mataifa koloni na si dunia nzima ya watu bilioni 7+
 
Bundi anapokaa ndan/njei ya nyumba yako, kiroho mara nyingi huashiria ujumbe wenye nguvu wa hekima, mpito, na ujuzi wa ndani, akifanya kama mjumbe kutoka ulimwengu wa roho au wito wa uchunguzi wa kina, akikuhimiza kuona nje ya juu na kuamini uvumbuzi wako unapopitia mabadiliko ya maisha, ingawa maana hutofautiana kutoka kwa bahati nzuri (utajiri) hadi imani hadi za kienyeji, kulingana na imani za kitamaduni.
 
Wakristo wanafiki sana,nyie ndio watukanaji wakubwa wa waislam hapa Jf
 
Mi mwenyewe huwa najiuliza sana hili swala unakuta mtu kashinda siku nzima kutukanana na wenye dini yao..yaani mtu umemaliza kusoma dini yako yote vizuri mpaka uhamie kwenye imani za watu wengine kutafuta mapungufu! Naona ni kama insecurity moja kubwa sana kama unajiamini na dini yako kwanini uingilie ya mtu mwingine tena kwa kashfa nzito kila mtu aamini anachokiamini period!!
 
Sijaelewa🤔
 
Wakristo wanafiki sana,nyie ndio watukanaji wakubwa wa waislam hapa Jf
Hapo awali Wakristo hawakuwa na habari kabisa kuhusu Uislamu na Qurani:

Kule kwetu Peramiho ukikutwa na kitabu cha qurani wazee wanakunyang'anya na kukupiga marufuku kukishika au kukisoma:
Mimi nimekuja kuiona qurani nikiwa mkubwa:

Waislamu ndio walianza mtindo wa kutafuta waumini wa Kikristo kwa mtindo wa kuisoma Biblia kwa upande hasi ili kuiponda na kuifagilia qurani ili kuwachota
Wakristo Jina:

Wakaanzisha mihadhara ya kuiponda Biblia na Ukristo:
Ndipo Wakristo nao wakatafakari na kuanza kuisoma Qurani ili kuona kuna nini cha maana zaidi ya Biblia:

Bila kusita wakaanza kurudisha mashambulizi na matokeo yake ndio hayo:

We vumilia tu dawa ikuingie si ndio mlivyokuwa mnataka:

Tumezisoma hadi Aya ambazo Muhamadi alikuwa anashushiwa na Shetani bila kufahamu kuwa hayo yalikuwa maneno ya Shetani na kuyaandika kwenye Qurani:

Kama hizi Aya hapa:
53:19 - Je! Mmemuona Lata na Uzza:
53:20 - Na Manaat, mwingine wa tatu?
53:21 - Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

Bisha nikupe ufafanuzi wake:
 
Kila mtu anao uhuru wa kuamini anacho amin , ila ukileta imani yako kwenye hadhira kama hii utapopolewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…