Hakuna watu wa ovyo kama wakosoa imani za wengine hapa JF

inategemea na mtu anaamini vipi mafundisho hayo. Wengine hubeba mafundisho hivyohivyo yalivyo bila kupembua na kuelewa tafsiri yake
 
Walokole wanawapopoa na kuwatenga walutheri, wasabato , wakatolic na nk

Wasabato wanawapopoa wakatoliki

Huku mnaJifanya kukataa kupopoana wakati hata madhebu yenu wenyewe mnapopoana mbali hata na dini tofauti.
Ndio kwani hapo tatzio liko wapi? Unatafuta dini iliyo perfect kumbe?
 
Ndio kwani hapo tatzio liko wapi? Unatafuta dini iliyo perfect kumbe?
Sina haja na dini yoyote , nakuonyesha jinsi chuki zilivyo anzia humo humo kwenye vitabu vyenu vya dini
 
huyo mjuba yuko vizuri wewe, we ni kobazi vuguvugu unaonekana
swala la imani ni pana sana ndugu..wewe unamuona yuko vizuri kwasababu sio mvivu wa kusoma vitabu mbalimbali ila na wewe ungekuwa kama yeye kuna sehemu mngepishana uelewa tu amini nakwambia...Sasa mwambie awe anaandika mafundisho ya dini au imani yake ili apate wafuasi hata hao unawaita Kobaz, lakini upo kwenye imani nyingine kutwa kucha ni kusema imani za watu..NI KWELI AU SIO KWELI LAKINI INAKUHUSU NINI? Haya ndo mtoa mada anayakataa.
 
Kama kuna mtu anataka ligi ya matusi aseme ili aandaliwe timu za matusi ashindane nazo, kuna members wanayajua matusi vema tu
 
naona umemshushia kombora la nyuklia huyo kobazi mpevu, saa zote ye yuko kwenye uchoko tu
Aache mazoea na mimii, kama anafirika yeye kwanini atusumbue sumbue sisi yani anadhani eti akikuita ***** ndi amekuweza wakati maeneo yanayoongozs kwa uchoko ni pwani ambako ndio ngome ya itikadi yao hio
 
Kama kuna mtu anataka ligi ya matusi aseme ili aandaliwe timu za matusi ashindane nazo, kuna members wanayajua matusi vema tu
Nyie watu wa dini bhna , sasa matusi ya nini ? Taulo mnayofutia mat,,,o hiyo hiyo ndio mnafutia uso🚮
 
Bro ELI COHEN Haina haja ya kutukanana na huyo jamaa.

Ana akili ndogo sana.

Kumbuka ukitukanana na Kichaa watu wanaona Vichaa wawil wanatukanana.

Mpuuze tafadhali. Tunamjua.
huyo jamaa alishasema kwamba uislam ukiguswa na makafiri atawamwagia matusi mwanzo mwisho mpaka wakimbie wakae kimya, ndio maana anatukana hovyo hovyo kwenye nyuzi zinazogusa abrakadabra za uislam. Ni mwehu anatetea kitu asichokijua kimetoka wapi
 
Wewe hukuilewa mada.
 
Haya ndio yanakataliwa.
 
naona unaongea kwa upole
 
Mnyukano wa dini na imani zake upo humuhumu na unaishia humuhumu nyuzini. Huku nje physically realistic hakuna bifu, tunachanganyika pomoja as if tuna imani moja.
 
Mtu wa hovyo anakuwa ni yule ambaye ameleta imani yake ambayo ni private kwenye public. Halafu hataki ikosolewe.

Wafia dini na watu wa imani, ndio vimbelembele wa kuanza kuongelea imani zao kwa watu wengine.

Wafia dini na watu wa imani, ndio wenye  viherehere na kuwashwa washwa kuzungumzia imani zao.

Wafia dini na watu wa imani, wao ndio wa kwanza kuandika nyuzi zao hapa JF kuelezea imani zao na kuzinadi.

Halafu hawataki zikosolewe.

Wanasahau kwamba, JF ni public forum.

Ukileta imani yako hapa JF, umeiweka kwenye public forum. Kila mtu ana uhuru na uwezo wa kuifanya chochote. Hata kuikosoa.

Kama hutaki imani yako ikosolewe, baki nayo hukohuko. USIILETE hapa kwenye public forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…