Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Umenena vema. Ni kweli stendi ya mabasi makubwa haijaanza operation. Ila hii ya kwenye video ni stendi ndogo na inafanya kazi mpaka saa 12 jioni. Magari yanayotoka chato kwenda Mwanza kweli ni machache e.g Mkwema, & stendi ndogo inafanya kazi kila siku (Mabasi ya kwenda katoro, Muganza, Mwanza, Bukoba, Mutukura e.t.c yanapakia na kushusha abiria hapo daily!)., Wamachinga wapo, wamama wanaouza maziwa wapo, wapiga debe wapo, mama ntilie wapo, bodaboda na bajaji wapo daily kujipatia riziki kdg. Let's avoid pessimism wakuu! . Nakataa mtoa mada kupost video indicating stendi iko completely dormant. Let's be optimistic bhana..
 
Ni suala la watendaji kutengeneza na kusimamia by-laws, ili miradi hiyo iwe na tija.
 
Ni makusudi tu inafanyika, maana sijaona sababu yakuwa hivyo maana kama mabus chato pale yanapita na yanakwenda na kutoka pia.. Nafikiri kuna mtu anataka kujustify anachowaza na kuamini.
 
Maghufuli bhana badala ya kureinforce Mwanza sehemu ambayo chochote ukiendeleza lazima kilipe anaenda kule chato , moja ya akili mbovu Sana hyo

Mwendazake amekwenda na stendi yake!!! R.I.P kwa Mwendazake. . .!!! R.I.P Kwa Stendi. . .!!!

Hizo fremu wakipangisha hata kwa Tsh 10,000/= kwa mwezi, hawapati mpangaji ng'o.
Kwani kuna Wilaya ambayo haikupata Stendi? Tena si bora Chato palichelewa sana hiyo stendi imemalizika mwaka jana?

Juzi nilifika Iringa huko Stand mpya Igumilo sijui wanapaita pamepoa vibaya mno! Nenda Kibaha stand ilipo! Nafikiri walikuwa na malengo ya kutanua miji kwaiyo sion kama ni issue
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Mwenye stendi yake alishakufanayo
 
Kuna mwingine anaitwa Kisamv anataka nchi igawanywe kwa sababu kuna watu wanamsema vibaya jiwe huku serikali na chama vikiwa kimya tu!
Mods tunaomba hio video iondolewe mara Moja
Na huu Uzi ufutwe mara Moja

Kila comment humu Ina m portray JPM aonekane ni mtu mbaya


SIO MANENO YANGU...ALISIKIKA MCHANGIAJI MMOJA
Cc
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Tuletee kwanza hali ya Airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…