Kazi ya diwani, mbunge ma halmashauri ya Chato. Lakini je Wanajali?Uwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.
Nilitamani uone mobutu's gbadolite , halafu uje utofautishe hapa na hIzi picha za chatoUwepo wa hayo majengo yasiyo na watu kusionekane kama ndio mwisho wa dunia, hapo kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza huduma za jamii eneo husika, mfano wahamishie soko karibu, na magari ya abiria yatakiwe kuingia hapo stand, hapatuchukua muda mrefu patachangamka tu.
Sio swala la kuendeleza, hapo pamekamilika tatizo watumiaji hakuna.Sasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..
Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?
Mnajifanya kujizima data.
Hatupo kwenye luxury ya kuslpend pesa zote hizo kwa project ambazo zitamature miaka ya mbele , hayo ni majengo ambayo with time yatakuja ku prove kuwa sio sahihi kwa wakati huo.Hawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.
Nakubaliana na wewe 100%jamaa alipenda sana kwao.Pamoja na ubaya wake ila jamaa alipapenda sana kwao
Nenda masasi ukaone maajabu ya hayati unaweza sema eneo Hilo halikutoa kiongozi mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yamebakia kuwa mazalia ya nyoka na mijusi tuHatupo kwenye luxury ya kuslpend pesa zote hizo kwa project ambazo zitamature miaka ya mbele , hayo ni majengo ambayo with time yatakuja ku prove kuwa sio sahihi kwa wakati huo.
Hatuna shule kusustain student population ya sasa , kwa nini ujenge majengo yatakayo kula pesa nyingi kwa matumizi ya badaye.
Mobutu alifanya kitu kama chato katika mji wa gbadolite
Maboutu alikuwa ni sawa na Nduli maana alikuwa hashauriki kabisa.Mobutu Seseko alifanya kama hivi
Sasa ni magofu PalaceGbadolite Palace
Swali gumu sana kwake huyoWananchi wenyewe walikuwa hawaihitaji yeye alimejengea nani? Waiendeleze itumiwe na nani?
Watajali vipi wakati huo mradi walistukizwa tu bila kuwa kwenye planKazi ya diwani, mbunge ma halmashauri ya Chato. Lakini je Wanajali?
Tulisema sana lkn tukaitwa wapinzani wa kila jambo lkn leo hii tunayaonaNilitamani uone mobutu's gbadolite , halafu uje utofautishe hapa na hIzi picha za chato
Watu walitabiri haya kabla hata kifo cha jpm
Jamaa angekuwepo anageweza kuhamisha wilaya yoyote akaipeleka hapo kwaoSio swala la kuendeleza, hapo pamekamilika tatizo watumiaji hakuna.
Was it necessary?
Bukoba pale wanatia huruma sanaMji wa bukoba ungepata stendi kama hii...watu wangeshukulu sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Lengo zuri lipi?Sasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..
Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?
Mnajifanya kujizima data.
Sukum gangSasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..
Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?
Mnajifanya kujizima data.
Na wakiambiwa hujibu " Kwani CHATU si Tanzania"Wananchi wenyewe walikuwa hawaihitaji yeye alimejengea nani? Waiendeleze itumiwe na nani?