Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Naskia sasa ivi uwanja wa chato wakulima wanatumia kuanika mazaoHakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.
Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.
Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.View attachment 2552696
Subiria walazimisha legacy wakushukieLengo zuri lipi?
Alikuwa mwizi tu
Mm natamani hata liliko life tenaBora lilikufa
Hakuna cha kufanyia zaidi ya hilo na kukimbia riadhaNaskia sasa ivi uwanja wa chato wakulima wanatumia kuanika mazao
Hapo namuona MusibaSukum gangView attachment 2552773
Hebu soma tena ulichoandika kisha tafakari kwa kina.Pamoja na ubaya wake ila jamaa alipapenda sana kwao
Nenda masasi ukaone maajabu ya hayati unaweza sema eneo Hilo halikutoa kiongozi mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Stendi ya Bukoba ikifika saa tano asubuhi...mabasi hayapaki ndani ya stendi kupisha daladala...saa 11 moja ndo daladala nyingi zinakuwa zinaenda vijijinu hivyo yanapata nafasi na haitoshi maana mabasi mengi huishia Bukoba na kulala bukoba...stendi ni ndogo mnoMwendazake amekwenda na stendi yake!!! R.I.P kwa Mwendazake. . .!!! R.I.P Kwa Stendi. . .!!!
Hizo fremu wakipangisha hata kwa Tsh 10,000/= kwa mwezi, hawapati mpangaji ng'o.
Bukoba iliachwa kwa kuwa watu wa bukoba walikosea kuchagua upinzani...ndo alivyosema....Kwani kuna Wilaya ambayo haikupata Stendi? Tena si bora Chato palichelewa sana hiyo stendi imemalizika mwaka jana?
Juzi nilifika Iringa huko Stand mpya Igumilo sijui wanapaita pamepoa vibaya mno! Nenda Kibaha stand ilipo! Nafikiri walikuwa na malengo ya kutanua miji kwaiyo sion kama ni issue
Alikuwa mshamba.Yule jamaa alikuwa anajaza mamiradi wilayani kwake hata kama wananchi hawapo tayari yani alimradi tuu.
Ewaaaaaaaa imekua mahameGbadolite Palace ya Mobutu wa Chattle